Sunday, 14 February 2016

TUNAENDELEA KUKUKUMBUKA ALI MOHAMED NABWA (1936 - 2007) na Mohamed Ghassany na Mohamed Said


Kushoto: Mohamed Said, Mohamed Ghassany

Kushoto: Mohamed Said, Ally Saleh
The man, the pen and the truth...

Siku kama ya leo, miaka minne iliyopita, mtu ninayemchukulia kama 'baba' yangu, linapokuja suala la uandishi wa habari, Ali Mohammed Nabwa, alihitajiwa na Mola wake, akiwa kalazwa kwenye hospitali ...
ZANZIBARDAIMA.WORDPRESS.COM
Comments
Wakisa El Qadiry Allah akusamekh makosa yko.Ahhhh!!.mwalim wa wenye kuelewa somo.iko siku itakuwa kweli.
LikeReply8 hrs
Juma S Hamad Allahumma Ghfir lahu wa Arhamhu wa maskanahu fil Jannat
LikeReply8 hrs
Rashid Felly Miliki Allah amzidishie rehma aaaamini aaamini
LikeReply5 hrs
Saleh Issa Khatib M.Mungu amsamehe nadhani take na awepesishe safari yake
LikeReply4 hrs
Mohamed Said Somo tulifanya kipindi kama taazia ya Ali Nabwa katika Hamza Kassongo Hour Ch. 10 mwaka wa 2007. Wewe na Ally Saleh Alberto sasa Mheshimiwa Ally Saleh mkiwa studio za Channel Ten Dar es Salaam mimi wakani- link kwa simu kutoka Tanga. Kipindi kilikuwa moto kiasi kuwa taarifa zilizonifikia ni kuwa wandaaji wa kipindi walililalamikiwa na kwa hiyo DVD walioahidi kutupa hatukupewa na kipindi hakikurudiwa. Mimi niliandika obituary ikachapwa na The East African Magazine, Nairobi. Hii hapa:http://www.mohammedsaid.com/.../obituary-weeping-and...

The man, the pen and the truth...

Siku kama ya leo, miaka minne iliyopita, mtu ninayemchukulia kama 'baba' yangu, linapokuja suala la uandishi wa habari, Ali Mohammed Nabwa, alihitajiwa na Mola wake, akiwa kalazwa kwenye hospitali ...
ZANZIBARDAIMA.WORDPRESS.COM
Comments
Wakisa El Qadiry Allah akusamekh makosa yko.Ahhhh!!.mwalim wa wenye kuelewa somo.iko siku itakuwa kweli.
LikeReply8 hrs
Juma S Hamad Allahumma Ghfir lahu wa Arhamhu wa maskanahu fil Jannat
LikeReply8 hrs
Rashid Felly Miliki Allah amzidishie rehma aaaamini aaamini
LikeReply5 hrs
Saleh Issa Khatib M.Mungu amsamehe nadhani take na awepesishe safari yake
LikeReply4 hrs
Mohamed Said Somo tulifanya kipindi kama taazia ya Ali Nabwa katika Hamza Kassongo Hour Ch. 10 mwaka wa 2007. Wewe na Ally Saleh Alberto sasa Mheshimiwa Ally Saleh mkiwa studo za Channel Ten Dar es Salaam mimi wakani- link kwa simu kutoka Tanga. Kipindi kilikuwa moto kiasi kuwa taarifa zilizonifikia ni kuwa wandaaji wa kipindi walililalamikiwa na kwa hiyo DVD walioahidi kutupa hatukupewa na kipindi hakikurudiwa. Mimi niliandika obituary ikachapwa na The East African Magazine, Nairobi. Hii hapa:http://www.mohammedsaid.com/.../obituary-weeping-and...

The man, the pen and the truth...

Siku kama ya leo, miaka minne iliyopita, mtu ninayemchukulia kama 'baba' yangu, linapokuja suala la uandishi wa habari, Ali Mohammed Nabwa, alihitajiwa na Mola wake, akiwa kalazwa kwenye hospitali ...
ZANZIBARDAIMA.WORDPRESS.COM
Comments
Wakisa El Qadiry Allah akusamekh makosa yko.Ahhhh!!.mwalim wa wenye kuelewa somo.iko siku itakuwa kweli.
LikeReply8 hrs
Juma S Hamad Allahumma Ghfir lahu wa Arhamhu wa maskanahu fil Jannat
LikeReply8 hrs
Rashid Felly Miliki Allah amzidishie rehma aaaamini aaamini
LikeReply5 hrs
Saleh Issa Khatib M.Mungu amsamehe nadhani take na awepesishe safari yake
LikeReply4 hrs
Mohamed Said Somo tulifanya kipindi kama taazia ya Ali Nabwa katika Hamza Kassongo Hour Ch. 10 mwaka wa 2007. Ilikuwa tarehe 3 Aprili 2007. Wewe na Ally Saleh Alberto sasa Mheshimiwa Ally Saleh mkiwa studo za Channel Ten Dar es Salaam mimi wakani- link kwa simu kutoka Tanga. Kipindi kilikuwa moto kiasi kuwa taarifa zilizonifikia ni kuwa waandaaji wa kipindi walililalamikiwa na kwa hiyo DVD walioahidi kutupa hatukupewa na kipindi hakikurudiwa. Mimi niliandika obituary ikachapwa na The East African Magazine, Nairobi. Hii hapa:http://www.mohammedsaid.com/.../obituary-weeping-and...

No comments: