Friday, 26 February 2016

UCHAGUZI MKUU 2015 NA MWELEKEO MPYA WA MAGAZETI YA KIISLAM

Utangulizi



Kuna wakati haikua tabu kulijua gazeti la Kiislam kutoka magazeti mengine. 
Siku hizi si rahisi tena. 

Unaweza ukadhani labda kichwa cha habari ni kutoka gazeti la Chama Cha Mapinduzi ''Uhuru'' au ''Mzalendo.'' 

Nyakati zimebadilika na hivyo hivyo baadhi ya magazeti ya Kiislam nayo yamekumbwa na upepo wa mabadiliko.

Anaweza mtu akajiuliza kitu gani kimesababisha hali hii ambayo kwa kiasi fulani si tu imeshangaza jumuia ya Waislam wa Tanzania hasa wa Bara ila imesababisha kupuuzwa kwa baadhi ya magazeti haya kwa sababu ya kuwa yameondokewa na msisimko uliokuwapo hapo kabla.

Ndugu msomaji hebu pitia vichwa vya habari hapa chini:




















No comments: