Wakati James Baldwin anaandika maneno haya
ambayo ndiyo jina la kitabu chake hiki mashuhuri kuhusu ubaguzi Marekani, nchi
ile ilikuwa ikipitia kipindi kigumu sana katika historia yake. Jamii moja
ilikuwa ikibaguliwa na kufanyiwa kila aina ya madhila kuanzia kupigwa na
polisi, kusakasiwa mbwa, kumwagiwa maji
ya washawasha nk. Nilipoziona picha hizo hapo chini kutoka Pemba fikra yangu ya
kwanza ilikwenda kwa kasi ya ajabu kwa mwandishi huyu nguli James Baldwin na
kitabu chake hicho - The Fire Next Time...

No comments:
Post a Comment