Utangulizi
Picha inazungumza maneno 1000. Msemo huu ulikuwa ukikusudia picha zile ambazo kwa Kiingereza zikiitwa, ''still photograph,'' Picha hizi za sasa ambazo ni picha na sauti bila shaka zinasema zaidi ya maneno 1000 kwa kuwa si kuwa tu unawaona watu na vitendo wanavyofanya bali ikiwa wewe ni mtaaalmu zaidi unaweza hata kusoma, ''facial expression,' na ''body language,'' na kufanya tafsiri. Katika hayo unapata zaidi ya picha na maneno uliyosikia. Msomaji hebu na wewe jitahidi kuangalia hii DVD hapo chini na fanya tafsiri na majumuisho yako.
No comments:
Post a Comment