Baraza la Wazee wa TANU |
Allahuma Amin,
Kuna mtu kamkashifu babu yangu hapa ati aliwekwa kizuizini na Nyerere
kwa ajili ya chokochoko za dini.
Nikamwekea historia ya babu yangu vipi waliachana mkono na Nyerere.
Huyu bwana haya ule uungwana wa kunitaka radhi kwa kumzulia uongo
babu yangu ameshindwa.
Huyu jamaa jina lake Nanren.
Ingia hapa umesome babu yangu na nini alifanya kupambana na na dhulma
za wakoloni.
Wala hakusoma Makerere.
Yeye ni muhitimu wa Ilm ya dini kutoka Zanzibar:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Kuna mwingine anaitwa Nguruvi3,
Anasema Nyerere aliandika katiba ya TANU ati Abdul Sykes yeye
ilimshinda.
Nikamweleza kuwa katiba ya TANU haikuandikwa na mtu yoyote pale
New Street.
Katiba ya TANU ilikopiwa kutoka katiba ya Convention People's Party
(CPP) ya Kwame NKrumah wa Ghana.
Akamkashifu sana mzee wangu Abdul Sykes.
Mimi sisemi kwa utashi wangu.
Mimi hizi habari za katiba alinieleza Tewa Said Tewa mmoja wa wale watu
17 walioasisi TANU.
Ritz kaleta rejea ya Joseph Mihangwa inayoonyesha kuwa hakika katiba
ya TANU ni sawa na katiba ya CPP.
Nguruvi3 toka jana haonekani barazani.
Vijana wana msemo kaingia mitini.
Huyu nae Uncle Jei Jei kaja na Vita Vya Maji Maji hana habari kuwa
Wajerumani walipambana na Waislam.
Nimemwekea ushahidi na yeye vilevile kajificha haonekani hapa Majlis.
Hii ''level ya ignorance,'' katika historia ya Tanganyika kweli inatisha.
Elimu ya historia hawana lakini hawataki kujifunza wamekalia ubishi.

No comments:
Post a Comment