Friday 17 June 2016

NYARAKA ZA MOHAMED SAID KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE

Utangulizi
Kavazi la Mwalimu Nyerere limeonyesha nyaraka mbili tatu ambazo mwandishi ameweza kuzikusanya katika utafiti wake wa historia ya Tanganyika. Ingawa nyaraka inaoneshwa kuwa inatoka kwenye Maktaba ya Mohamed Said ukweli ni kuwa yeye kapewa kwa hisani ya hao waliokuwanazo ambao anawafahamu na wengine bado wako hai.


Photo

Nyaraka nyingine iliyowekwa ni barua ambayo uongozi wa TAA mwaka wa 1953 ulimuandikia Malkia Elizabeth. Naukuwekea hapo chini maelezo ya nyara hii kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes.


...an undated copy of the letter from the TAA to Queen Elizabeth signed by the entire executive (the President, Julius Nyerere, Vice-President Abdulwahid Sykes, General Secretary Dome Okochi, Assistant Secretary Dossa Aziz, Treasurer John Rupia, Assistant Treasurer Ally Sykes) congratulating Her Majesty on her coronation...(Sykes' Papers)

No comments: