MWALIKO WA UZINDUZI WA KITABU
Finally
Inshallah kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA kilichoandikwa na Alhakir Ally Saleh
kitazinduliwa July 13, 2016 hapo 236 Hurunzi Hotel saa 10 jioni.
Mnaalikwa...
Ally Saleh na Mwandishi |
Haji Gora na Mwandishi Zanzibar |
Inakuwa
tabu sana kuwaandika mabingwa wawili katika kurasa hiyo hiyo moja. Mwandishi wa
kitabu Ally Saleh ni maarufu.
Kalamu yake nani asieijua?
Halikadhalika
Haji ''Kimbunga'' Gora, nani asiyezijua beti na tungo zake?
Leo
hii Jumatano kama mwaliko unavyoonyesha hapo juu Ally Saleh In Shaallah anazindua kitabu
cha mshairi nguli Haji Gora.
Mabingwa hawa wote wawili si wageni kwa mwandishi kama picha hizo hapo juu zinavyobainisha.
Fuatilia
ukurasa huu baada ya uzinduzi wa kitabu...
No comments:
Post a Comment