Thursday 15 September 2016

KUTOKA JF: WANAMZUNGUMZA MOHAMED SAID


Kwa nini Mohammed Said hakupewa nafasi kwenye msiba wa Ally Sykes?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AbasMzeEgyptianMay 20, 2013.
  1. A

    AbasMzeEgyptianJF-Expert Member

    #1
    May 20, 2013
    Joined: Jul 20, 2011
    Messages: 345
     
    Likes Received: 148
     
    Trophy Points: 60











    Nilitegemea kuwa Sydney angepewa nafasi ya kusoma brief bio ya Ally Sykes leo lakini nashangaa kuwa hakuonekana japo ndiye aliyekuwa pewa nafasi na familia pamoja na Sykes mwenyewe kuandika official Biography yake.

    [​IMG]


    InshaAllah natumai wana THE ABDULWAHID SYKES FOUNDATION pamoja na SAIGON watamfanyia Hitma pamoja na Symposium ya LIFE &TIMES OF ALLY SKYKES na records zingewekwa for future references







    PART 7 IS MISSING



    Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
  2. Maganga Mkweli

    Maganga MkweliJF-Expert Member

    #2
    May 20, 2013
    Joined: Jul 14, 2009
    Messages: 2,050
     
    Likes Received: 13
     
    Trophy Points: 135











    swali la msingi sana hili ngoja tusibiri majibu
    SIGNATURE










  3. Las Mas Bobos

    Las Mas BobosJF-Expert Member

    #3
    May 20, 2013
    Joined: Jun 15, 2012
    Messages: 993
     
    Likes Received: 1
     
    Trophy Points: 0











    Hizi shughuli za kujikweza huwa haziwachoshi?
    Mohamed Said halali mpaka anakonda kazi ni kuhubiri kwa nini ABC halafu zote pumba. Haya niambie na wewe na mada yako, kama angepewa nafasi ya kuhutubia, marehemu angefufuka?
    Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
    SIGNATURE










  4. Yericko Nyerere

    Yericko NyerereVerified User 

    #4
    May 20, 2013
    Joined: Dec 22, 2010
    Messages: 15,056
     
    Likes Received: 1,082
     
    Trophy Points: 280











    Hii ni habari au? Mkikosa chaku post basi mnaamua hata kupost ngano ilimradi uonekane umepost!

    Umeshindwa kuihoji famili ya marehemu hicho ulichokitarajia?

    Mods sio kila upuuzi lazima uwepo jamvini!
    SIGNATURE










  5. Matola

    MatolaJF-Expert Member

    #5
    May 20, 2013
    Joined: Oct 18, 2010
    Messages: 29,957
     
    Likes Received: 3,074
     
    Trophy Points: 280











    Kazi ya Mzee Mohamed Said ni uchochezi na siyo hilo jukumu ulilopenda wewe kwamba yeye akabidhiwe.

    Ana jukumu zito ambalo limekwama la kuwa brain wash vijana wa kiislamu na kuijaza chuki jamii, usifikiri hao waliomnyima fursa hiyo ni wajinga.
    SIGNATURE










  6. MTAZAMO

    MTAZAMOJF-Expert Member

    #6
    May 20, 2013
    Joined: Feb 8, 2011
    Messages: 10,831
     
    Likes Received: 1,451
     
    Trophy Points: 280











    Mohamed Said ana pumzi aisee! kwa ule umri humu JF si kazi ndogo!
    Natamani kujua kama kuna anayemzidi umri humu JF tumpe zawadi maalum na kama hakuna tumtunze yeye.
    SIGNATURE










  7. A

    AbasMzeEgyptianJF-Expert Member

    #7
    Today at 12:36 AM
    Joined: Jul 20, 2011
    Messages: 345
     
    Likes Received: 148
     
    Trophy Points: 60











    mashaaaAllah kamjalia stamina maana ku deal na members wa JF si kazi ndogo
  8. Sooth

    SoothJF-Expert Member

    #8
    Today at 12:47 AM
    Joined: Apr 27, 2009
    Messages: 1,712
     
    Likes Received: 449
     
    Trophy Points: 180











    Utafanyaje kama kuna MTU zama hizi anashukuru Mungu kwakuwa hakuna mkristo kwenye kabila lake? Stupid fanatic
  9. Mag3

    Mag3JF Gold Member

    #9
    Today at 1:26 AM
    Joined: May 31, 2008
    Messages: 7,169
     
    Likes Received: 1,716
     
    Trophy Points: 280






















    Na je kwa tunaomzidi umri maradufu utasemaje? Mohamed Said ni kijana mdogo sana, kazaliwa sisi wengine tayari tunavinjari madarasani kupata elimu dunia.
    SIGNATURE











  10. M

    Mohamed SaidVerified User 

    #10
    47 minutes ago
    Joined: Nov 2, 2008
    Messages: 8,626
     
    Likes Received: 2,152
     
    Trophy Points: 280






















    Maganga...
    Kwenye msiba wa Ally Sykes niliombwa na watoto wake nizungumze kwa ufupi
    maisha yake na nilifanya hivyo.

    Hapo hapo tukiwa msibani kabla ya mazishi nilifanyiwa mahojiano na BBC na
    gazeti la Citizen.

    Ingependeza Wanamajlis na hili hulisema mara nyingi hapa kuwa ni busara
    mtu ukufanya utafiti kidogo kabla ya kuandika.

    Unaweza kusoma hapa chini baadhi ya yale niliyoeleza pale msibani katika wasifu
    wake:
    Mohamed Said: Ally Kleist Sykes 1926 – 2013 Mzalendo Muasisi wa TANU Aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1
    Makamu wa Rais Gharib Bilali katika msiba wa Ally Sykes









  11. M

    Mohamed SaidVerified User 

    #11
    13 minutes ago
    Joined: Nov 2, 2008
    Messages: 8,626
     
    Likes Received: 2,152
     
    Trophy Points: 280





















    Abbas...
    Wallahi kuna mambo mengine mie huwa hayanipitikii hadi mtu aseme.

    Mathalan hesabu ya maneno ambayo naandika kwa siku au vitabu nilivyopata
    katika maisha yangu kusoma au nchi na miji niliyotembelea duniani kuanzia
    CapeTown hadi New York na kwengineko hadi North Sea, Scotland sikwambii
    kuona Bar Lev Line, Misri.

    Mwandishi na Peter Colmore Nairobi Muthaiga 1995
    [​IMG]
    Kushoto: Tamim Faraj, Prof. Ali Mazrui na Mwandishi
    Kampala 2003

    Watu niliopata kukutananao ambao wenyewe ni historia ya Afrika kama Jim
    Bailey, Peter Colmore, Prof. Suleiman Nyang, Prof. Ali Mazrui, Prof.
    Michael Lofchie, Prof. Mohamed Bakari
    na wengine wengi.

    [​IMG]
    Mwandishi na Prof. Mohamed Bakari Istanbul 2015

    Mwandishi na Michael Lofchie Chuo Kikuu Cha Iowa, USA



    Watu mashuhuri ambao nimepata kuwafanyia mahojiano muhimu kabisa katika
    historia ''tata,'' ya Tanzania - marehemu Ali Nabwa, Said Rashid, Hassan
    [​IMG]
    Kitabu cha Ali Muhsin Barwani
    ''Conflicts and Harmony in Zanzibar'' 

    Nassoro Moyo, Baraka Shamte, Prof. Haroub Othman, Ali Muhsin na
     mdogo wake Abdallah Muhsin Barwani nk.
    Kushoto: Farouk Abdullah, Mwandishi, Sheikh Ali Muhsin barwani
    na Sheikh Abdallah Muhsin Barwani Muscat Oman 1999


  12. Sikwambii ile kusoma nyaraka binafsi za watu ambao wengine hawajulikani lakini
    nyaraka zao ndizo zimebeba historia ya Tanganyika, kama nyaraka za marehemu
    Germano Pacha, mmoja katika wazalendo 17 walioasisi TANU, Bilal Rehani
    Waikela, Mzee Kissinger 
    nk.
    Bilal Rehani Waikela


     Mzee Kisinger

    Nimesoma barua za Kenneth Kaunda, Chief Thomas Marealle, Earle Seaton 
    katika nyaraza za Sykes, barua ambazo hadi leo mtafiti aliyebahatika kuziona ni
    mimi peke yangu sasa zaidi ya miaka 60.

    Nimepata ''exposure,'' utotoni ambayo wenzangu wengi wa Kariakoo hawakubahatika.

    Mzee Said alinifunza kuvaa kwa ''occasion,'' na kufanya ''order,'' na kusoma ''menu,''
    nikiwa mtoto mdogo sana achilia mbali kuniambukiza ''taste,'' yake ya muziki.

    Kwa kweli namshukuru Allah.
    Mwandishi na Ally Sykes 2009








No comments: