Sheikh Hamzah Rijal akimhoji Sheikh Swaleh Bahassan |
|
22:29 (13 hours ago)
| |||
(ASALAAM ALAYKUM Hii ya Shariff Bahasani Al-Hajj Othman Miraji aliileta kwenye ZIRPP haya ni maelezo yangu)
>
> ASALAAM ALAYKUM!
>
> Syd Bahasani ni mmoja kati ya wasomi wetu wa Dini ya Kiislamu ambaye hajatosheka na alichojifunza bali anaendelea
kusoma. Nimefanya mahojiano naye katika kipindi cha kila
Ramadhani kinacholetwa moja kwa moja na Zanzibar Cable kwa
> jina la Nour ya Ramadhani, unapofanya mahojiano naye atajibu
> anachokijuwa akiwa hajui haoni tabu kusema hajui.
>
> Katika Darsa zake na mihadhara yake utavutiwa kumsikiliza
> kutokana na kuweza kuwa na uwezo wakutoa mifano
> yakukuwezesha kuelewa kile anachokzungumza.
>
> Hii Clip yake unapoisikiliza huchoki na huwezi ukaisikiliza
> mara mmoja ukatosheka.
>
> Nimefanya Mahijiano kama hayo na Alama Syd Muhammad Beidh
> naye alichukua siku 3 kuzungumzia Uislamu Afrika Mashariki,
> ingawa Syd Bahasani amekamata zaidi ya wasomi waliopita wa
> Kenya nikutokana na alikuwa na watu wakwao, lau angekuwa
> kwenye Kongamano la Kimataifa au la Afrika Mashariki
> angebidi azame kuwa taja kina Sheikh Muhidin Amawi, Sheikh
> Abubakar Bakathir, Syd Ahmad Mlomri, Sheikh Mansab, Sheikh
> Burhani Mkele, Sheikh Muhsin bin Ali Barwany na wengineo.
>
> In sha Allah kama alivyosema mwenyewe hatuna hakika na umri
> ila katika kipindi changu cha Nouru ya Ramadhani nitapenda
> nizungumze naye mada hii hii.
>
> Al-Hajj Othman natoa Shukurani kututumia hii link.
>
> Ngaridjo Onana
>
> Hamza Z. Rijal

No comments:
Post a Comment