Bismillahi Rahmani Rahim
Baadhi ya Viongozi wa Uamsho Walio Gerezani Tanzania Bara |
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya
Kiislamu na wenzao zaidi ya 50 wapo gerezani Segerea Dar es salaam kwa zaidi
ya miaka mitatu sasa lakini familia zao wake zao watoto wao wapo majumbani mwao
hapa Unguja wanahitaji msaada wangu, mimi na wewe ndugu yangu.
Tunapaswa kama Waislamu kuzisaidia hizo
familia kwa hali na mali ingawa kiasi chochote cha fedha tutakachotoa hakiwezi
kupunguza wala kuondosha maumivu walionayo kwa familia hizi kuwa kosa waume zao
na baba zao muda wote lakini angalau tuwasaidie kwa kile kilicho kwenye uwezo
wetu na yale ambayo hatuna uwezo nayo basi tumuombe Allah awafanye wepesi.
Shime
ndugu zetu tuzisaidie hizi familia unapotoa fedha yako hata kama ni elfu moja
kumbuka hiyo ni sadaka yako kwani baadhi ya hao masheikh wanalea watoto
mayatima majumbani mwao na kwa sasa wanahitaji msaada wangu mimi na wewe.
Tafadhali tuma fedha zako kupitia mzalendo.net kupitia
paypal na ref ya mchango wako andika uamsho.
Kwa wale ambao watapenda kutuma michango yao
kwa TIGO PESA nambari ya simu ni0656668457.
Ahsanteni
No comments:
Post a Comment