Shughuli zitaanza saa 3.30 asubuhi nyumbani kwake Mtaa
wa Mazengo, Upanga kwa kisomo.
Chakula saa 5.30 hadi 6.30 mchana.
Mwili utatoka nyumbani kupelekwa Msikiti wa Shadhil saa
6.45 mchana.
Mwili utasaliwa saa 7.00 mchana baada ya hapo kuelekea
Makaburi ya Kisutu kwa mazishi.
No comments:
Post a Comment