*Hii Story ni Uzushi. Mzee yuko
salama nyumbani kwake na jioni hii ataungana na Jumuiya ya Mabalozi pamoja na
wadau wengine katika kusherehekea Siku ya Taifa ya Kuwait iliyoandaliwa na
Balozi wa nchi hiyo hapa Dar es Salaam*
Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie
afya na siha njema na umri mrefu- Amiin
_Dkt Abdullah H. MAKAME_ Katibu wa
Rais Msaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwa katika dhifa ya Siku ya Kuwait leo |
No comments:
Post a Comment