Monday 9 October 2017

NYERERE DAY 2017: TUNAMKUMBUKA BABA WA TAIFA NA MASHUJAA WENZAKE




Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
(1922 - 1999)







Vitabu Vinavyoeleza Historia ya Baba wa Taifa
Kulia mbele: Bi. Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, 
Sheikh Suleiman Takadir, Julius Kambarage Nyerere.
Kulia nyuma: John Rupia, Rajab Diwani na Mama Maria Nyerere
Magomeni TANU Branch tawi alilofungua Ali Msham 1955

Kushoto Ali Msham na wanachama wa TANU Magomeni 1955

Waasisi wa TANU 1954


1.        Abdallah Shomari (Tandamti Street No. 3)
2.       Nassoro kalumbanya (simba str.)
3.        Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo Street)
4.       Mtoro Ally (Muhonda Street.)
5.       John Rupia (Misheni Kota)
6.        Julius Nyerere( Pugu Sekondari)
7.       Said Chaurembo (Congo/Mkunguni Street.)
8.       Jumbe Tambaza( Upanga)
9.       Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili)
10.    Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali Kipande Street )
11.      Mshume Kiyate (Tandamti Street)
12.     Juma Sultan (Kitchwele karibu na kanisa dogo )
13.     Maalim Shubeti (Masasi/Likoma Street)
14.     Rajab Simba (Kiungani Street)
15.     Waziri Mtonga (Kilosa no. 18, Ilala)
16.     Mwinjuma Mwinyikambi (Mwananyamala)
17.     Maxi Mbwana ( Aggrey /Kongo  Street)
18.     Usia Omari (Sungwi ,Kisarawe) 
19.     Sheikh Issa Nasir (Bagamoyo) 
20. Kulia wa pili waliokaa Sheikh SuleimanTakadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU 1954 - 1958) 
(Swahili/Kariakoo Street)




Hamza Kibwana Mwapachu
(1913 - 1962)


Abdulwahid Kleist Sykes
(1924-1968)

Chief Kidaha David Makwaia
Jumbe Tambaza 

Julius Nyerere na silaha za kienyeji
(Picha kwa hisani ya Maulid Tosiri mtoto wa Idd Tosiri
TANU Card No. 24)

Baba wa Taifa Akihutubia Jangwani

Kulia: Haruna Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed
Ramia na Idd Faiz Mafungo, Dodoma 1956


Kulia: Bi. Tatu bint Mzee wa tatu Julius Kambarage Nyerere na watano ni
Bi. Titi Mohamed wakimsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege Dar es Salaam 
safari ya UNO 1955


Julius Nyerere na Ally Sykes Nyumbani kwa Baba wa Taifa
Magomeni, 1958
Robert Makange mhariri wa gazeti la TANU


Kushoto: Dossa Aziz, JuliusNyerere, Abdul Sykes na Lawi Sijaona
Rajab Matimbwa
Mwanakwaya wa TANU 1955 
Mwalimu Kihere

Kulia: Zuberi Mtemvu, Julius Nyerere na John Rupia waliosimama nyuma
ni Bantu Group walinzi wa viongozi wa TANU na wahamasishaji umma
Frank Humplink


Mshume Kiyate na Baba wa Taifa
1964

Kulia: Mshume Kiyate, Baba wa Taifa, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi
1962

Bilal Rehani Waikela








Sanamu ya Baba wa Taifa Dodoma

No comments: