Katika miaka ya 1950 yawezekana ilikuwa mwaka wa 1958 au 1959, Kabaka wa Uganda Edward Fredrick Mutesa II alimpeleka mwanae wa kiume Zanzibar akiwa mgeni wa Sayyid Khalifa.
Picha hiyo hapo chini ilipigwa nyumbni kwa Sultani Zanzibar.
Huyu kijana aliyeletwa Zanzibar sasa ndiye Kabaka wa Buganda:
1. Princess
Amal bint Khalifa
2. Bi Khola
bint Said Al-Busaidiyah
3. Yaya wa Prince
Mutabi
4. Prince
Sayyid Jamshid bin Abdalla bin Khalifa (Baadae akawa Sultan wa Zanzibar)
5. Sayyida
Nunuu bint Ahmed Al-Busaidiyah (Mke wa Sayyid Khalifa bin Harub, Sultan wa Zanzibar)
6. Prince
David Ssimbwa, mdogo wake Kabaka Mutesa II. (Prince David amefariki November 2014)
7. Prince
Mutebi (he is now Kabaka Ronald Muwenda Mutebi II of Buganda)
8. ADC to
the Kabaka Mutesa II
9. Bi Samira
bint Salim Al-Maamariyah
10. &
11. Wageni kutoka kwa Kabaka
12. Shaikh
Mohammed bin Abeid Al-Hajj
13. Sayyid
Soud Ahmed Al-Busaidy
14 Riadh bin
Abdalla Al-Busaidy
No comments:
Post a Comment