Marehemu Habib Mwamba mwanachama mlezi akiwa amesimama pamoja na mtoto wa marehemu Dr. Omari Alli Juma kulia kwake na
kushootoni Alhad Chuma. baada ya kusomwa dua ya kumrehemu
[9:57 PM, 4/11/2018] Boi Juma: Sheikh Aziz Salim, hizi picha mbili ni kumbukumbu nzuri sana kwa wana Saigon.
Picha ya Kwanza
Dr. Mohamed Alli Shen Wakati huo akiwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania akiagana na wanachama wa Saigon walioshiriki katika khitma iliosomwa ya kumrehemu Dr. Omari Alli Juma aliekua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania hapa klabu ya Saigon.
Wanaomsindikiza Dr. Shen ni Marehemu Ibrahimu Khamis Chuwa Mwenyekiti wa Senet wa klabu ya Saigon na huyo anae agana nae ni Aziz Salim.
Picha y Pili
[10:10 PM, 4/11/2018] Boi Juma: Picha ya pili ni marehemu Habib Mwamba mwanachama mlezi akiwa amesimama pamoja na watoto wa marehemu Dr. Omari Alli Juma baada ya kusomwa dua ya kumrehemu hapa klabu ya Saigon,
Kifo cha Dr. Omari Alli Juma alikufa ghafla Mola amlaze mahala pema pia awasamehe makosa yao Ibrahim Chuwa na Habibu Mwamba Aamin...
|
No comments:
Post a Comment