ASKOFU WA KKKT IRINGA DR. MDEGELA |
Msomaji,
Askofu wa KKKT Iringa Dr. Mdegela kuhusu Bunge Maalum la Katiba. Tumemsikia William Lukuvi na sasa tunamsikia Askofu wa KKKT. Sheikh Mkuu wa BAKWATA Shaaban Simba na yeye anataka serikali mbili kama anavyozitaka Kadinali Pengo wa Kanisa Katoliki. Kwa bahati nzuri sana BAKWATA hawakubaliki kwa Waislam kwa hiyo inasubiriwa kauli ya Baraza Kuu chini ya Sheikh Mussa Kundecha na yeye asikike kwa niaba ya Waislam. Ingia hapo chini usikilize nini kasema Askofu Mdegela:
No comments:
Post a Comment