William Lukuvi na Prof. Ibrahim Lipumba |
Prof. Lipumba |
Lakini wajuzi wa mambo wanajua nini kinatisha endapo Zanzibar itakuwa na mamlaka yake kamili.
Hilo ndilo lililofanya Nyerere na Kanisa kwa pamoja wapinge kwa nguvu zote Zanzibar kujiunga na Organisation of Islamic Conference (OIC) mwaka wa 1993.
Waliokuwa kwenye madaraka wana hofu kuu na ya kweli kuhusu Uislam.
Waliokuwa katika madaraka na hao ndiyo waliochagua wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ni wajuzi wa mambo haya.
Kwa utaalamu huu waliokuwanao ndiyo maana usawa umezingatiwa kote isipokuwa katika dini.
Wabunge Waislam katika Bunge Maalum la Katiba ni wachache ukilinganisha na wenzao Wakristo.
Ingia hapa usadikishe:
http://www.mohammedsaid.com/2014/02/uteuzi-wa-baraza-la-katiba.html
Hii haikuja kwa bahati mbaya...
Hii imepangwa kwa makusudi ili lengo lifikiwe.
Waziri Nguruvi karopoka na katika kuropoka ikawa kama vile anakula na kipofu kisha anamshika mkono...
Ingia hapa umsikize Prof. Lipumba akieleza aliyosema Lukuvi kanisani kuhusu Uislam Zanzibar:
https://drive.google.com/file/
Nakusihi uingie hapa chini ili ujikumbushe aloandika mwandishi kuhusu Uislam na Zanzibar:
http://www.mohammedsaid.com/2014/02/hofu-ya-uislam-kuwa-na-nguvu-zanzibar.htm
http://rafikiforums.com/index.php?topic=31.0
Hii leo Tanzania iko katika dhiki na sintofahamu kubwa ambayo haijapta kutokea katika
historia yake ya muungano ambao In Sha Allah utafikisha miaka 50, yaani nusu karne siku
siku chache zijazo.
Kwanza lazima ieleweke kuwa Tanzania Bara haithiriki chochote katika muungano huu.
Tanzania Bara haijapoteza nchi yake wala utamaduni wake.
Walioshika hatamu za uongozi toka Tanganyika iwe huru mwaka 1961 hawajahisi kitisho
chochote katika kufaidi matunda ya uhuru na wanapohisi kuwa maslahi yao huenda yakawa
hatarini wanavyo vyombo madhubuti vya kudhibiti hali hiyo.
Hii ndiyo hayo yanayotokea Dodoma katika Bunge la Katiba.
Wataalamu wao wa kudhibiti mambo ni mahiri sana na wana mipango inayoanzia mbali sana.
Kwa hakika kwao wao kuwa na muungano wa namna hii wa serikali mbili wao wananufaika
pakubwa na wanajitanua wapendavyo.
Muungano huu umebadilisha kabisa historia na utambulisho wa Zanzibar kama ilivyokuwa
zamani.
Imefikia hali haijulikani kama Zanzibar ni nchi au si nchi.
Zanzibar hii ya muungano si Zanzibar ile...
Hebu mpenzi rafiki ingia hapo chini angalau ujue ni akina nani walisaidia mapinduzi ya Zanzibar
kisha jiulize walifanya hayo hivi hivi tu?
Kisha jiulize mbona waliosadia mapinduzi majina yao yanafichwa hayaenziwi ipasavyo?
Kwa nini Mwalimu Nyerere, Oscar Kambona na Victor Mkello waliosaidia mapinduzi kwa hali
na mali hawatajwi wala hawakupewa nishani za mapinduzi nishani hizo zilipotolewa tarehe 12
Januari 2014 kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi?
Kinafichwa nini?
Ndugu rafiki ingia hapo chini upate fikra zenye kufikirisha:
http://www.mohammedsaid.com/2014/03/miaka-50-ya-muungano-kuijua-historia-ya.html

No comments:
Post a Comment