Quote By josefast View Post
Sasa wewe foxy wale ccm wenzenu sindowalikuwa wanashabikia serkal2..? tena wakasema hawatishiki nahizo habari za kibanda maiti..? tatzo ni ccm ndo imeleta hizo habar za mfumo mnaodai kristo..
Mfumo Kristo ulianzishwa na Nyerere.

Soma hapa: Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania

CCM ni chama tu kama ilivyo vyama vingine.