Re: Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu
Chama,
Kuwa kitabu cha Dr. Harith Ghassany hakina jipya hayo ni mawazo yako na
mimi sina haki ya kufanya mzozo katika hilo.
Sana sana ninachoweza kusema ni kukuuliza ikiwa kitabu cha Dr. Ghassany
hakina ''jipya,'' hayo yako ya zamani ni yepi?
Kuhusu kujikomba kwa Waarabu mimi nitamsemea Harith.
Harith hana sababu ya kujikomba kwa Waarabu kwa kuwa yeye ana damu ya
Kiarabu na Kimanyema.
Mtu hajikombi kwa wazee wake.
Bibi yake mzaa baba Biti Tambwe ni Mmanyema.
Ningeweza kukupa mengi kuhusu ''walokimbia'' Zanzibar lakini nasubiri nafasi
nzuri itokee In Sha Allah.
Hakika mimi ni mwana historia wa Kariakoo.
Nimezaliwa Mtaa wa Kipata huku Mtaa wa Swahili na huku Mtaa wa Nyamwezi.
Nyumba yetu ilikuwa namba 32.
Mpaka wa Nyamwezi ni nyumba ya Mama Nambaya na mpaka wa Nyamwezi ni
nyumba ya Mama Kilindi.
Hawa wote walikuwa ni mashoga wa mama yangu ingawa yeye aliwatangulia
kwenda mbele ya haki.
Kwa Udarisalama hii nimekupa nasaba yangu ndogo na najivuna kwa hili na
namshukuru Allah kwa kunijalia nema hii.
Lakini mimi si ''mwanahistoria wa Kariakoo'' kama ulivyoniita kwa kejeli.
Mimi ni mwanahistoria wa Kariakoo na wa kwingi:
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London)
3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London)
4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam)
6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam)
7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)
8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, MbaleDecember 15th – 17th 2003)
9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004)
10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004)
11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006)
12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi, (Children’s book)
13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi
14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam
15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi
16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban
17. Tanzania A Nation Without Heroes, (Nairobi) 2013
18. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
19. Contributor Dictionary of African Biographies (DAB), Harvard University and Oxford University Press, New York.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Swaziland,Zimbabwe, Saudi Arabia, Egypt, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Netherlands, Belgium, Switzerland, France and Iran.
Chama,
Sisi kwetu tumefunzwa adab, huwa hatujinasib lakini hiki kibri chenu kimefurtu ada.
Mimi ni Muislam.
Allah kanikataza kuwa mbaguzi.
Simtazami mja wake kwa Uarabu na Uafrika kama unavyofanya wewe.
Wewe kwako wema ni Wazungu au siyo?
Last edited by Mohamed Said; Today at 21:14.
No comments:
Post a Comment