Tuesday, 27 May 2014

KUTOKA JF: MWINYI BARAKA ANAKUMBUKWA

  1. Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By FaizaFoxy View Post
    Naona unajitahidi sana kuchonganisha, pata darsa dogo:

    Qur'an 49:10. Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.

    Pata na hii Hadithi ndogo:

    Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) karipotiwa kusema: “Utawaona Waislamu wakipendana na kuhurumiana mithili ya kiwiliwili kimoja; iwapo kiungo chochote ni kigonjwa basi mwili wote huumwa na kukosa usingizi”. (Bukhari)

    Nilibahatika pia kulisikia darsa hili katika video ya Al Habib Mwinyi Baraka, lecture yake ya " The real Meaning of Islam" aliyoitoa katika Chuo Kikuu cha Kiislam Makkah Al Mukarama. Mwenyewe akiitoa kwa Kiingereza kwa ufasaha kabisa, natamani ningekuwa nayo leo hii nikakurushia uisikilize, ungalipata japo "kiduchu" kujuwa nini maana ya Uislam.

    Fikiri, Sheikh kutoka Tanzania anakaribishwa Chuo Kikuu cha Kiislam Makkah, kwenda kuwapa lecture ni nini "maana ya Uislam", hiyo tu ni kipimo tosha cha kukujulisha hawa wazee wetu walikuwa ni akina nani.
    FF,
    Sijui kama unakijua kisa hiki:

    Mwinyi Baraka yuko Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.
    Yuko kwenye mstari wa International Travel.

    Kama kawaida kavaa kanzu na kizubao na kilemba chake.
    Msichana wa Kikikuyu aliyekuwa ana check in wasafiri kamuona.

    Kaangalia kile kivazi akajua huyu mzee kapotea njia akampigia
    kelele, ''Mzee toka kenye foleni dege yako iko kule.''

    Mwinyi Baraka katoka kwenye foleni kasimama pembeni katulia
    tuli anatazama.

    Foleni inasogea.

    Mwinyi Baraka amesimama anaangalia.
    Mara kuna zogo kubwa kule mbele kwenye desk ya yule msichana
    wa Kikukuyu.

    Abiria mmoja Mfaransa ananadi kwa Kifaransa, ''Jamani kuna mtu
    humu anasema Kifaransa aje anisaidie hapa?''

    Mwinyi Baraka akasogea taratibu akazungumza na yule Mzungu kwa
    Kifaransa kisha akageuka kwa dada yangu wa Kikikuyu taratibu na
    yeye akampa tafasiri kwa Kiingereza kileambacho sote tukikijua cha
    Oxford alikosoma.

    Akachukua kwa Kiingereza kwa Mkikuyu akamwaga kwa Mfaransa
    taratibu kwa Kifaransa.

    Tatizo likesha.
    Kisa bado kinaendelea...

    Kisa cha yule dada kumfukuza kwenye foleni yake ni kuwa alipoona
    ile kanzu na kilemba akajua huyu mzee ndege yake ni ya Mombasa/
    Lamu kakosea kuja hapa kwenye madege ya majuu.

    Toka lini watu wa namna hii wakenda Ulaya.

    Sasa adabu ishamrejea Mkikuyu wetu anamuuliza Mwinyi Baraka
    wapi anakwenda.

    Mwinyi Baraka akatoa tiketi kama kumi hivi zenye ''destination''
    tofauti kuanzia Paris, London, Berlin, Geneva nk. nk.

    Mwinyi Baraka alikuwa hana makuu mtu ''humble,'' yuko nyumbani na
    mtu yeyote bila kujali hali yake.

    Alikuwa akija Dar es Salaam akifikia kwa Mama Nuru Mtaa wa Pemba.

    Vijana wakisikia tu kuwa Mwinyi Baraka kaja basi watamfuata na
    kumuomba awasomeshe.

    Mwinyi Baraka akawa kichocheo cha masheikh wengi vijana katika
    kumwiga ile namna yake ya kuzungumza.

    Aliyeathirika sana ni Sheikh Ali Mzee Comorian yeye alikuwa na
    mahaba makubwa na Mwinyi Baraka alikuwa habanduki ubavuni kwake
    na hadi leo Sheikh Ali akitoa waadhi utaisikia ile ''influence'' ya ''mentor''
    wake.

    Sheikh Ali Mzee Comorian 

    Haya mambo nahadithia ni zaidi ya miaka 30 sasa sisi watoto kabisa.
    Mwinyi Baraka alikuwa akijua saikolojia ya ujana na alikuwa kaituchukua
    hivyo akijuab kuwa akitupa msingi mzuri wa ilm tutaongoka.

    Siku moja kwa Mama Nuru darsa limepamba moto.

    Jamaa kanywa lakini kasikia njiani kuna darsa la Mwinyi Baraka Pemba.

    Jamaa kaingia na watu wote wamemuona kalewa.

    Wamehamaki vipi anakuja katika darsa keshautwika huyu anataka
    kutufedhehesha mbele ya Al Habib.

    Wemehamaki wanamnyanyukia kutaka kumfukuza.

    Mwinyi Baraka kawatuliza anawaambia, ''Haya sasa huyu kaja darsani
    mnataka kumfukuza, haya maneno ya Allah Subhana Wataala hivi
    atayasikiaje mkishamtoa hapa?

    Jamaa kakaa darsani kwa utuvu, mnyonge anajuta kwa ile pombe.
    Huyu ndiye Mwinyi Baraka.

    Hawa ndiyo wazee wetu ambao tukiwataja hapa jamvini ndugu zetu
    wanaumia.

    Leo sisi tuko hapa tunaandika na dunia nzima inatusoma kwa sababu
    ya ilm waliotuachia hawa masheikh zetu.

    Allah awapanulie makaburi yao na ayajaze nuru.
    Amin.
    Last edited by Mohamed Said; Today at 16:49.
  2. #589   Report Post    
    Nakita Khrushchev's Avatar
    Senior MemberArray
    Join Date : 26th December 2013
    Posts : 128
    Rep Power : 347

    Likes Received
    34

    Likes Given
    77

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By jmushi1 View Post
    Ndo zao wakishindwa hoja ama kushindwa kujibu maswali.Mtu eti hata hanifahamu ananiita cheupe! Teh teh teh! Ni id zao multiple hizo! Wakishindwa hoja ndo zao, wanataka kutukaririsha watu kama walivyokaririshwa wao.Hatumezi nzima hapa, eti historia yao wakiulizwa maswali wanataharuki! Daah!
    Subiri basi cheupee.

    Why unakuwa na haraka hivyo??

    Si ni sharti hadi isimame au UNATAKA KURUKIA??
  3. #590   Report Post    
    Nakita Khrushchev's Avatar
    Senior MemberArray
    Join Date : 26th December 2013
    Posts : 128
    Rep Power : 347

    Likes Received
    34

    Likes Given
    77

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mohamed Said View Post
    FF,
    Sijui kama unakijua kisa hiki:

    Mwinyi Baraka yuko Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.
    Yuko kwenye mstari wa International Travel.

    Kama kawaida kavaa kanzu na kizubao na kilemba chake.
    Msichana wa Kikikuyu aliyekuwa ana check in wasafiri kamuona.

    Kaangalia kile kivazi akajua huyu mzee kapotea njia akampigia
    kelele, ''Mzee toka kenye foleni dege yako iko kule.''

    Mwinyi Baraka katoka kwenye foleni kasimama pembeni katulia
    tuli anatazama.

    Foleni inasogea.

    Mwinyi Baraka amesimama anaangalia.
    Mara kuna zogo kubwa kule mbele kwenye desk ya yule msichana
    wa Kikukuyu.

    Abiria mmoja Mfaransa ananadi kwa Kifaransa, ''Jamani kuna mtu
    humu anasema Kifaransa aje anisaidie hapa?''

    Mwinyi Baraka akasogea taratibu akazungumza na yule Mzungu kwa
    Kifaransa kisha akageuka kwa dada yangu wa Kikikuyu taratibu na
    yeye akampa tafasiri kwa Kiingereza kileambacho sote tukikijua cha
    Oxford alikosoma.

    Akachukua kwa Kiingereza kwa Mkikuyu akamwaga kwa Mfaransa
    taratibu kwa Kifaransa.

    Tatizo likesha.
    Kisa bado kinaendelea...

    Kisa cha yule dada kumfukuza kwenye foleni yake ni kuwa alipoona
    ile kanzu na kilemba akajua huyu mzee ndege yake ni ya Mombasa/
    Lamu kakosea kuja hapa kwenye madege ya majuu.

    Toka lini watu wa namna hii wakenda Ulaya.

    Sasa adabu ishamrejea Mkikuyu wetu anamuuliza Mwinyi Baraka wapi
    anakwenda.

    Mwinyi Baraka akatoa tiketi kama kumi hivi zenye ''destination''
    tofauti kuanzia Paris, London, Berlin, Geneva nk. nk.

    Ha ha ha.

    Mkikuyu yeye alidhani kwamba kanzu na vipedo havipai angani...??

    Teh teh teh.
  4. #591   Report Post    
    duchi's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 22nd October 2012
    Posts : 1,139
    Rep Power : 611

    Likes Received
    169

    Likes Given
    57

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mohamed Said View Post
    FF,
    Sijui kama unakijua kisa hiki:

    Mwinyi Baraka yuko Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.
    Yuko kwenye mstari wa International Travel.

    Kama kawaida kavaa kanzu na kizubao na kilemba chake.
    Msichana wa Kikikuyu aliyekuwa ana check in wasafiri kamuona.

    Kaangalia kile kivazi akajua huyu mzee kapotea njia akampigia
    kelele, ''Mzee toka kenye foleni dege yako iko kule.''

    Mwinyi Baraka katoka kwenye foleni kasimama pembeni katulia
    tuli anatazama.

    Foleni inasogea.

    Mwinyi Baraka amesimama anaangalia.
    Mara kuna zogo kubwa kule mbele kwenye desk ya yule msichana
    wa Kikukuyu.

    Abiria mmoja Mfaransa ananadi kwa Kifaransa, ''Jamani kuna mtu
    humu anasema Kifaransa aje anisaidie hapa?''

    Mwinyi Baraka akasogea taratibu akazungumza na yule Mzungu kwa
    Kifaransa kisha akageuka kwa dada yangu wa Kikikuyu taratibu na
    yeye akampa tafasiri kwa Kiingereza kileambacho sote tukikijua cha
    Oxford alikosoma.

    Akachukua kwa Kiingereza kwa Mkikuyu akamwaga kwa Mfaransa
    taratibu kwa Kifaransa.

    Tatizo likesha.
    Kisa bado kinaendelea...

    Kisa cha yule dada kumfukuza kwenye foleni yake ni kuwa alipoona
    ile kanzu na kilemba akajua huyu mzee ndege yake ni ya Mombasa/
    Lamu kakosea kuja hapa kwenye madege ya majuu.

    Toka lini watu wa namna hii wakenda Ulaya.

    Sasa adabu ishamrejea Mkikuyu wetu anamuuliza Mwinyi Baraka wapi
    anakwenda.

    Mwinyi Baraka akatoa tiketi kama kumi hivi zenye ''destination''
    tofauti kuanzia Paris, London, Berlin, Geneva nk. nk.
    Shukran Mudir wangu hiyo kasumba mpaka sasa bado ipo wanadhani ilmu ni kuvaa suti na tai.
    FaizaFoxy likes this.
  5. #592   Report Post    
    jmushi1's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2007
    Posts : 15,596
    Rep Power : 32245251

    Likes Received
    5101

    Likes Given
    6158

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By jidodo View Post
    Amejibiwa Mawenzi umekuja Jmushi1 umesahau kubadili ID? any way Chifu Marialle naye alipigania uhuru?
    Mbona huyo Sykes alikuwa "market master" wa soko la kariakoo chini ya utawala wa kikoloni? Wao wenyewe walipendelewa na wakoloni, maana hawakuishi maisha kama ya masikini wengine wa Tanganyika.Hilo lenyewe lafaa ulitafakari kabla ya kutupa madongo.
    "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
  6. #593   Report Post    
    jmushi1's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2007
    Posts : 15,596
    Rep Power : 32245251

    Likes Received
    5101

    Likes Given
    6158

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Nakita Khrushchev View Post
    Subiri basi cheupee.

    Why unakuwa na haraka hivyo??

    Si ni sharti hadi isimame au UNATAKA KURUKIA??
    Halafu Mohammed Said ndo wafuasi wake nyie? Yeye amatulia tu anafurahia uliberali wako.Endelea kuharibu mjadala, utaishia kufungiwa asipokukanya bwana mkubwa wako.

    Pia fuatilia, yeye alilenga kunijibu mimi, lakini akajikuta anamquote Mawenzi.Nimemjibu kwasababu ujumbe alielekeza kwangu, nilitambuwa makosa yake.
    "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
  7. #594   Report Post    
    Gs-300's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd May 2014
    Posts : 254
    Rep Power : 354

    Likes Received
    178

    Likes Given
    77

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By jidodo View Post
    Amejibiwa Mawenzi umekuja Jmushi1 umesahau kubadili ID? any way Chifu Marialle naye alipigania uhuru?
    Mkuu Jidodo,

    Kumbe nawe umeona eenh!? Daah! Hawa jamaa zetu bana! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

    Shukran mno.
    FaizaFoxy likes this.
  8. #595   Report Post    
    jmushi1's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2007
    Posts : 15,596
    Rep Power : 32245251

    Likes Received
    5101

    Likes Given
    6158

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mohamed Said View Post
    jmushi,
    Si kama natania lakini sijaelewa unachosema labda wanajamvi wengine
    wanisaidie kunielewesha unakusudia nini.
    Nilimaanisha kwamba umechukia nilipozungumzia utumwa na waarabu.Nikakwambia kuwa mbona wewe umezungumzia wamishenari?

    Ulikataa kujibu hoja nyinginezo kwenye bandiko lile, ukasusa kisa nimetaja kuhusu utumwa, wewe ukasema sijasoma machapisho yako kuhusiana na hayo ya waharabu na utumwa.Sasa inaonekana itabidi uandike historia nyingine tena kuhusiana na ushiriki wa waarabu kwenye utumwa.
    "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
  9. #596   Report Post    
    Mshume Kiyate's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 27th February 2011
    Posts : 6,557
    Rep Power : 1716

    Likes Received
    698

    Likes Given
    3

    Default

    Quote By jmushi1 View Post
    Halafu Mohammed Said ndo wafuasi wake nyie? Yeye amatulia tu anafurahia uliberali wako.Endelea kuharibu mjadala, utaishia kufungiwa asipokukanya bwana mkubwa wako.

    Pia fuatilia, yeye alilenga kunijibu mimi, lakini akajikuta anamquote Mawenzi.Nimemjibu kwasababu ujumbe alielekeza kwangu, nilitambuwa makosa yake.
    jmushi1, Mohamed Said hana wafuasi kama unavyotaka kutuaminisha anachofanya ni kufundisha historia ya wazee wake ambao walikuwa kwenye harakati za uhuru wa Tanganyika, inapotokea member yeyote mmetofautiana kauli na mitazamo siyo vyema kumuhusisha Mohamed Said.
    FaizaFoxy likes this.
  10. #597   Report Post    
    FaizaFoxy's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 13th April 2011
    Posts : 20,669
    Rep Power : 6010373

    Likes Received
    9684

    Likes Given
    8760

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mohamed Said View Post
    FF,
    Tamim Allah kampa akili ya ajabu sana hujapatapo kuona na ''sense of humour''
    kali.

    Nusu ya maktaba yangu iko kwake labda sasa miaka 20 na mimi na yeye kwa
    udugu wetu hatudaiani kitu.

    Tumetoka mbali sana.
    MashaAllah, nikienda kwake huwa nami nnafaidika navyo, naye anajuwa huyu anapenda vitabu basi oooh, habajana.
    Pedagogist at Heart.

  11. #598   Report Post    
    FaizaFoxy's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 13th April 2011
    Posts : 20,669
    Rep Power : 6010373

    Likes Received
    9684

    Likes Given
    8760

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mshume Kiyate View Post
    jmushi1, Mohamed Said hana wafuasi kama unavyotaka kutuaminisha anachofanya ni kufundisha historia ya wazee wake ambao walikuwa kwenye harakati za uhuru wa Tanganyika, inapotokea member yeyote mmetofautiana kauli na mitazamo siyo vyema kumuhusisha Mohamed Said.
    Kitu anachoshindwa kuelewa na wanachoshindwa kuelewa wengi ni kuwa Waislam wameshikana kama kiwiliwili kimoja, leo wakitajwa hawa wazee wa Dar., wengi wao twawaona hivi machoni, kesho wakitajwa wa Mwanza, Arusha, Morogoro, Kigoma, hali kadhalika. Kama humjui, japo ulimsikia, japo wajuana na ahli zake, japo wajuana na vijukuu vyake. Hapo sasa!

    Hapo ndipo wasipopaelewa, kamba iliyotuunganisha si kamba ya kawaida. Someni mjuwe kamba ipi iliyotuunganisha.
    Pedagogist at Heart.

  12. #599   Report Post    
    FaizaFoxy's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 13th April 2011
    Posts : 20,669
    Rep Power : 6010373

    Likes Received
    9684

    Likes Given
    8760

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By jmushi1 View Post
    Nilimaanisha kwamba umechukia nilipozungumzia utumwa na waarabu.Nikakwambia kuwa mbona wewe umezungumzia wamishenari?

    Ulikataa kujibu hoja nyinginezo kwenye bandiko lile, ukasusa kisa nimetaja kuhusu utumwa, wewe ukasema sijasoma machapisho yako kuhusiana na hayo ya waharabu na utumwa.Sasa inaonekana itabidi uandike historia nyingine tena kuhusiana na ushiriki wa waarabu kwenye utumwa.
    Na wewe Mushi unaonaje ukatuandikia kuhusu Waafrika na Utumwa?
    Pedagogist at Heart.
  13. Mikono

No comments: