Saturday, 14 June 2014

KUTOKA JF: AFRICA EVENTS LILIPOCHAPA KUMBUKUMBU YA ABDUL SYKES 1988

  1.  Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By FaizaFoxy View Post
    You had better be sorry, you are the one who came in here so shallow, of all the history poured here by Al Alama Mohamed Said, you have come up with the magazine African Events? And what was it about? attack the magazine because it has Muslims contributors?. The likes of you are simply cheap and bogus. Know you know not. Ni bora ukacheze na vijukuu vyako, maana huna cha maana unachokileta hapa. Hata unachokipinga wewe mwenyewe hukijui ni nini? sasa wewe unalipinga jarida la African Events? hilo ndio liliandika Historia hii ya Tanganyika? wewe usilete vichekesho. Unaambiwa jarida zima lilinuliwa likachomwa moto kwa kuandikwa tu kipande cha historia ya Abdul Wahid Sykes, pinga na hilo. Unachokipinga ni nini? kuwa Abdul Wahid Sykes hakuwapo? 
    Mwandishi Akiwa Amesimama Nje ya Ofisi za Africa Events London, 1991

    FF,
    Baada ya kushuhudia lile gazeti lote limekusanywa na kuchomwa moto hapo
    ndipo nikajiuliza.

    Kinachoogopwa hapa ni nini?

    Nikarudi nyuma nikajiuliza tena kwa nini historia iliyoandikwa na Kivukoni nayo
    pia haikumtaja Abdulwahid Sykes wakati yeye ni muhimu katika kumleta
    Nyerere TAA na katika kuasisi TANU?

    Nikajiuliza swali lingine.
    Hivi Nyerere anaridhika na hali hii ya kupotoshwa kwa historia?

    Nikawa najiuliza hii historia si ndiyo historia yake mwenyewe katika
    siasa ya kudai uhuru wa Tanganyika iweje leo hii inavurugwa na yeye
    kakaa kimya?

    Pana nini hapa kinachoogopwa?

    Turudi Africa Events.

    Baada ya ile makala ya ''In Praise of Ancestors,'' majibu yalikuja kutoka
    CCM Dodoma.

    Majibu yaliyokuja ni kejeli, vitisho na dharau.

    Wanajamvi,Hebu someni kile nilichoandika katika kitabu changu na nini wale
    wasiotaka historia ile walisema:

    ''In 1985, President Nyerere, while conferring an honorary degree
    on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaam to
    write a correct history of Tanzania. In 1988, while commemorating
    thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to
    early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the
    Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and
    1958.

    Nyerere said: “That was the most trying period in the history of our
    Party and few people were courageous enough to join and work for
    the Party.” [1]
    In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge
    to record a correct history which he had for the first advanced in
    1974 and again in 1985 the present author published an article in
    African Events [2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU
    pioneers received prominence.

    In that article the author did what no other scholar had done before.
    He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the
    struggle for independence. It was at that time taboo to associate
    Islam or Muslims with the independence movement. The author
    received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka,
    a leading member of the panel whichwrote the Party book Historia ya
    Chama Cha TANU 1954-1977
    , the official history of the Party. The
    Party historian had this to say:
    ''(the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played
    a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate
    effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article
    contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by
    mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be
    Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader,
    Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception,
    it managed to weave together into a formidable, relatively homogeneous
    nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously
    diverse... Said’s major goal is to sow seeds of discord, and at any
    price, truth to him is a matter to be ignored.'' [3]
    This was the reaction from Kiwanuka, who supervised the research
    on the official history of the party, reducing a research article to
    whathe called a ‘fairy tale’. The author was also accused of lying.
    Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised ‘the
    greatness of the party and its founder-leader’. Kiwanuka was at
    that time the Assistant Secretary in the Department of Political
    Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi.
    Kiwanuka had as an undergraduate student at University of
    Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian
    relations. [4]

    [1] Daily News, 6 th October, 1988.

    [2] See M. Said, ‘In Praise of Ancestors’ Africa Events, London,
    March/April 1988, pp. 37-41.

    [3] See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.

    [4] K. Mayanja KiwanukaThe Politics of Islam in Bukoba District
    (1973), 
    B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

    Wanajamvi,
    Mtu aliyemmfanya Nyerere atoe mwito pale Tabora kuwa wale
    walioingia TANU mwaka 1954 waheshimiwe alikuwa Ramadhani
    Singo
    .

    Huyu Singo wakati wa harakati za kudai uhuru pale Tabora yeye
    alihusika sana na usalama katika TANU na Nyerere alipokwenda
    Tabora katika ule mkutano wa Kura Tatu mwaka 1958, Singo ndiye
    alikuwa mlinzi wake akilalanje ya nyumba alipofikia Nyerere kumlinda
    hadi asubuhi.

    Katika utafiti wa kitabu nilimhoji Mzee Singo (sasa ni marehemu)
    na alinambia:

    ''Ilikuwa katika mkutano wa hadhara ndipo nilipomkabili Nyerere na
    kumuuliza kwanza kama ananikumbuka kisha nikamwambia atutazame
    sisi sote tuliopigania uhuru na aone hali zetu. Wazee wote tulikuwa
    toka pale karibu ya jukwa na Nyerere alitutazama. Hali zetu zilikuwa
    taaban.''

    Turudi tena Africa Events.
    Siku zile kulikuwa na masharti magumu sana ya fedha za kigeni.

    Benki Kuu ikakataa kupeleka fedha Uingereza ilizokuwa zinapatikana
    Tanzania kutokana na mauzo ya gazeti lile.

    Africa Events likiuzwa takriban Afrika nzima lakini wasomaji wake
    wengi sana walikuwa hapa Tanzania.

    Hii iliathiri sana utendaji wa gazeti lile.

    Ghafla katika kipindi nikaona makala zangu hazichapwi tena na gazeti
    na ni katika kipindi hiki Mohamed Mlamali Adam akatoka katika
    Africa Events kama Mhariri na nafasi yake akachukua Msudani,
    Abdulwahb Afande na kisha akaja Ahmed Yahya Saleh.

    Zikanifikia taarifa kuwa Mlamali kaondolewa katika gazeti na makala
    zangu pia hazichapishwi kutokana na makubaliano katika ya uongozi
    wa Africa Events na ''wakubwa,'' na watakachopata Africa Events ni
    fedha zao zilizokuwa zimezuiwa na Benki Kuu.

    Juu ya haya ukweli ni kuwa makala zangu zilikuwa zinauza sana gazeti.
    Africa Events baada ya miaka 3 wakaja na mbinu mpya ya kuchapa
    makala zangu.

    Ghafla ''byline'' ikabadilika kutoka jina langu na kuwa ''Special Correspondent.''
    Malipo yakawa hayaji tena kwa hundi bali mtu ananipigia simu tunakutana
    mahali ananikabidhi fedha zangu.

    Mambo ya ki-James Bond 007.

    Yapo mengi.
    Lakini kwa leo haya yanatosha.
    Last edited by Mohamed Said; Today at 12:37.
    StraddlerfabyFaizaFoxy and 5 others like this.
  2. #1758   Report Post    
    Mshume Kiyate's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 27th February 2011
    Posts : 6,575
    Rep Power : 1722

    Likes Received
    730

    Likes Given
    3

    Default

    Quote By Mohamed Said View Post
    FF,
    Baada ya kushuhudia lile gazeti lote limekusanywa na kuchomwa moto hapo
    ndipo nikajiuliza.

    Kinachoogopwa hapa ni nini?

    Nikarudi nyuma nikajiuliza tena kwa nini historia iliyoandikwa na Kivukoni nayo
    pia haikumtaja Abdulwahid Sykes wakati yeye ni muhimu katika kumleta
    Nyerere TAA na katika kuasisi TANU?

    Nikajiuliza swali lingine.
    Hivi Nyerere anaridhika na hali hii ya kupotoshwa kwa historia?

    Nikawa najiuliza hii historia si ndiyo historia yake mwenyewe katika siasa ya
    kudai uhuru wa Tanganyika iweje leo hii inavurugwa na yeye kakaa kimya?

    Pana nini hapa kinachoogopwa?

    Turudi Afrika Events.

    Baada ya ile makala ya ''In Praise of Ancestors,'' majibu yalikuja kutoka
    CCM Dodoma.

    Majibu yaliyokuja ni kejeli, vitisho na dharau.

    Wanajamvi,Hebu someni kile nilichoandika katika kitabu changu na nini wale
    wasiotaka historia ile walisema:

    ''In 1985, President Nyerere, while conferring an honorary degree
    on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaam to
    write a correct history of Tanzania. In 1988, while commemorating
    thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to
    early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the
    Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and
    1958.

    Nyerere said: That was the most trying period in the history of our
    Party and few people were courageous enough to join and work for
    the Party.  [1]
    In supporting Nyerere for his recent call and taking up the challenge
    to record a correct history which he had for the first advanced in
    1974 and again in 1985 the present author published an article in
    African Events [2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU
    pioneers received prominence.

    In that article the author did what no other scholar had done before.
    He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the
    struggle for independence. It was at that time taboo to associate
    Islam or Muslims with the independence movement. The author
    received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka,
    a leading member of the panel whichwrote the Party book Historia ya
    Chama Cha TANU 1954-1977
    , the official history of the Party. The
    Party historian had this to say:
    ''(the)... article...argues that although Muslims in Tanzania played
    a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate
    effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article
    contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by
    mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be
    Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader,
    Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception,
    it managed to weave together into a formidable, relatively homogeneous
    nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously
    diverse... Said s major goal is to sow seeds of discord, and at any
    price, truth to him is a matter to be ignored.'' [3]
    This was the reaction from Kiwanuka, who supervised the research
    on the official history of the party, reducing a research article to
    whathe called a fairy tale . The author was also accused of lying.
    Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised the
    greatness of the party and its founder-leader . Kiwanuka was at
    that time the Assistant Secretary in the Department of Political
    Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi.
    Kiwanuka had as an undergraduate student at University of
    Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian
    relations. [4]

    [1] Daily News, 6 th October, 1988.

    [2] See M. Said, In Praise of Ancestors  Africa Events, London,
    March/April 1988, pp. 37-41.

    [3] See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.

    [4] K. Mayanja KiwanukaThe Politics of Islam in Bukoba District
    (1973), 
    B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.

    Wanajamvi,
    Mtu aliyemmfanya Nyerere atoe mwito pale Tabora kuwa wale
    walioingia TANU mwaka 1954 waheshimiwe alikuwa Ramadhani
    Singo
    .

    Huyu Singo wakati wa harakati za kudai uhuru pale Tabora yeye
    alihusika sana na usalama katika TANU na Nyerere alipokwenda
    Tabora katika ule mkutano wa Kura Tatu mwaka 1958, Singo ndiye
    alikuwa mlinzi wake akilalanje ya nyumba alipofikia Nyerere kumlinda
    hadi asubuhi.

    Katika utafiti wa kitabu nilimhoji Mzee Singo (sasa ni marehemu)
    na alinambia:

    ''Ilikuwa katika mkutano wa hadhara ndipo nilipomkabili Nyerere na
    kumuuliza kwanza kama ananikumbuka kisha nikamwambia atutazame
    sisi sote tuliopigania uhuru na aone hali zetu. Wazee wote tulikuwa
    toka pale karibu ya jukwa na Nyerere alitutazama. Hali zetu zilikuwa
    taaban.''

    Turudi tena Africa Events.
    Siku zile kulikuwa na masharti magumu sana ya fedha za kigeni.

    Benki Kuu ikakataa kupeleka fedha Uingereza ilizokuwa zinapatikana
    Tanzania kutokana na mauzo ya gazeti lile.

    Africa Events likiuzwa takriban Afrika nzima lakini wasomaji wake
    wengi sana walikuwa hapa Tanzania.

    Hii iliathiri sana utendaji wa gazeti lile.

    Ghafla katika kipindi nikaona makala zangu hazichapwi tena na gazeti
    na ni katika kipindi hiki Mohamed Mlamali Adam akatoka katika
    Africa Events kama Mhariri na nafasi yake akachukua Msudani,
    Abdulwahb Afande na kisha akaja Ahmed Yahya Saleh.Zikanifikia taarifa kuwa Mlamali kaondolewa katika gazeti na makala
    zangu pia hazichapishwi kutokana na makubaliano katika ya uongozi
    wa Africa Events na ''wakubwa,'' na watakachopata Africa Events ni
    fedha zao zilizokuwa zimezuiwa na Benki Kuu.

    Juu ya haya ukweli ni kuwa makala zangu zilikuwa zinauza sana gazeti.
    Africa Events baada ya miaka 3 wakaja na mbinu mpya ya kuchapa
    makala zangu.

    Ghafla ''byline'' ikabadilika kutoka jina langu na kuwa ''Special Correspondent.''
    Malipo yakawa hayaji tena kwa hundi bali mtu ananipigia simu tunakutana
    mahali ananikabidhi fedha zangu.

    Mambo ya ki-James Bond 007.

    Yapo mengi.
    Lakini kwa leo haya yanatosha.
    Huyu maruuni Sewer n Waste anakuambia jarida la "African Events" lilikuwa la Waislam nimecheka sana.
    idriss likes this.
  3. #1759   Report Post    
    Mohamed Said's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 2nd November 2008
    Posts : 5,725
    Rep Power : 66200

    Likes Received
    4429

    Likes Given
    244

    Default Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Quote By Mshume Kiyate View Post
    Huyu maruuni Sewer n Waste anakuambia jarida la "African Events" lilikuwa la Waislam nimecheka sana.
    Mshume Kiyate,
    Tusi limemrudia mwenyewe.

    Yeye ndio kawa Sewer N Waste!

    Mie natoa darsa watu wanasikiliza
    kile ambacho hawakupata kukisikia
    hata siku moja.

    Mchimba kisima kaingia mwenyewe.
    Yeye sasa ndiye kawa Sewer N Waste.

    Alhamdulilah.

    Maalim Haruna alikuwa akitufundisha akisema, ''Ukiona mwenzako
    katika mnakasha anatumia matusi basi jua ushamshinda kwani hiyo
    ni dalili wazi ya ghadhabu na mwenye hoja haghadhibiki.''
    Last edited by Mohamed Said; Today at 12:43.
    JumababuTayebidriss and 1 others like this.
  4. #1760   Report Post    
    Mshume Kiyate's Avatar
    JF Senior Expert MemberArray
    Join Date : 27th February 2011
    Posts : 6,575
    Rep Power : 1722

    Likes Received
    730

    Likes Given
    3

    Default

    Quote By Mohamed Said View Post
    Mshume Kiyate,
    Tusi limemrudia mwenyewe.

    Yeye ndio kawa Sewer N Waste!

    Mie natoa darsa watu wanasikiliza
    kile ambacho hawakupata kukisikia
    hata siku moja.

    Mchimba kisima kaingia mwenyewe.
    Yeye sasa ndiye kawa Sewer N Waste.

    Alhamdulilah.

    Maalim Haruna alikuwa akitufundisha akisema, ''Ukiona mwenzako
    katika mnakasha anatumia matusi basi jua ushamshinda kwani hiyo
    ni dalili wazi ya ghadhabu na mwenye hoja haghadhibiki.''
    Mzee Mohamed Said. unajua kwenye huu mnakasha kuna waerevu mno na wajinga mno huyu Sewer N Waste yupo kwenye kundi la wajinga mno.
    FaizaFoxyTayeb and idriss like this.
  5. Clean9

No comments: