1. Re: Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia
mbele ya haki
You had better be sorry, you are the one who came in here so shallow, of
all the history poured here by Al Alama Mohamed Said,
you have come up with the magazine African Events? and what was it about?
attack the magazine because it has Muslims contributors?. The likes of you are
simply cheap and bogus. Know you know not.
Ni bora ukacheze na vijukuu vyako, maana huna cha maana unachokileta hapa. Hata unachokipinga wewe mwenyewe hukijui ni nini? sasa wewe unalipinga jarida la African Events? hilo ndio liliandika Historia hii ya Tanganyika? wewe usilete vichekesho. Unaambiwa jarida zima lilinuliwa likachomwa moto kwa kuandikwa tu kipande cha historia ya Abdul Wahid Sykes, pinga na hilo.
Unachokipinga ni nini? kuwa Abdul Wahid Sykes hakuwapo?

FF,
Baada ya kushuhudia lile gazeti lote limekusanywa na kuchomwa moto hapo
ndipo nikajiuliza.
Kinachoogopwa hapa ni nini?
Nikarudi nyuma nikajiuliza tena kwa nini historia iliyoandikwa na Kivukoni nayo
pia haikumtaja Abdulwahid Sykes wakati yeye ni muhimu katika kumleta
Nyerere TAA na katika kuasisi TANU?
Nikajiuliza swali lingine.
Hivi Nyerere anaridhika na hali hii ya kupotoshwa kwa historia?
Nikawa najiuliza hii historia si ndiyo historia yake mwenyewe katika siasa ya
kudai uhuru wa Tanganyika iweje leo hii inavurugwa na yeye kakaa kimya?
Pana nini hapa kinachoogopwa?
Turudi Afrika Events.
Baada ya ile makala ya ''In Praise of Ancestors,'' majibu yalikuja kutoka
CCM Dodoma.
Majibu yaliyokuja ni kejeli, vitisho na dharau.
Wanajamvi,
Hebu someni kile nilichoandika katika kitabu changu na nini wale
wasiotaka historia ile walisema:

''In 1985, President Nyerere,
while conferring an honorary degree
on Basil Davidson, challenged the University of Dar es Salaam to write a correct history of Tanzania. In 1988, while commemorating thirty years of the Tabora Declaration, Nyerere in reference to early TANU members and as a tribute to them Nyerere asked the Party to take stock of those who joined TANU between 1954 and 1958. Nyerere said: “That was the most trying period in the history of our Party and few people were courageous enough to join and work for the Party.” [1] |
In supporting Nyerere for
his recent call and taking up the challenge
to record a correct history which he had for the first advanced in 1974 and again in 1985 the present author published an article in African Events [2] in which Abdulwahid and other forgotten TANU pioneers received prominence. In that article the author did what no other scholar had done before. He mentioned the fact that Muslims were in the forefront during the struggle for independence. It was at that time taboo to associate Islam or Muslims with the independence movement. The author received sharp rebuke from a Party historian, Dr Mayanja Kiwanuka, a leading member of the panel whichwrote the Party book Historia ya Chama Cha TANU 1954-1977, the official history of the Party. The Party historian had this to say: |
''(the)...
article...argues that although Muslims in Tanzania played
a crucial role in the struggle for independence, there is a deliberate effort to downplay their contribution. Consequently, the entire article contains half-baked fairy tales to sustain his argument, more so by mentioning names of several TANU stalwarts who happened to be Muslims...The greatness of TANU, indeed that of its founder-leader, Mwalimu Nyerere, is that, in so short a time since its inception, it managed to weave together into a formidable, relatively homogeneous nationalist movement, a people so ethnically, culturally and religiously diverse... Said’s major goal is to sow seeds of discord, and at any price, truth to him is a matter to be ignored.'' [3] |
This was the reaction from Kiwanuka, who
supervised the research
on the official history of the party, reducing a research article to whathe called a ‘fairy tale’. The author was also accused of lying. Kiwanuka, not deviating from the Party stand, emphasised ‘the greatness of the party and its founder-leader’. Kiwanuka was at that time the Assistant Secretary in the Department of Political Propaganda and Mass Mobilisation of the Chama Cha Mapinduzi. Kiwanuka had as an undergraduate student at University of Dar es Salaam, written on post-independence Muslim-Christian relations. [4] |
[1] Daily
News, 6 th October, 1988.
[2] See M. Said, ‘In Praise of Ancestors’ Africa Events, London,
March/April 1988, pp. 37-41.
[3] See Africa Events, May, 1988, letter by Dr K. Mayanja Kiwanuka.
[4] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District
(1973), B.A. Thesis, University of Dar es Salaam.
Wanajamvi,
Mtu aliyemfanya Nyerere atoe mwito pale Tabora kuwa wale
walioingia TANU mwaka 1954 waheshimiwe alikuwa Ramadhani
Singo.
Huyu Singo wakati wa harakati za kudai uhuru pale Tabora yeye
alihusika sana na usalama katika TANU na Nyerere alipokwenda
Tabora katika ule mkutano wa Kura Tatu mwaka 1958, Singo ndiye
alikuwa mlinzi wake akilalanje ya nyumba alipofikia Nyerere kumlinda
hadi asubuhi.
Katika utafiti wa kitabu nilimhoji Mzee Singo (sasa ni marehemu)
na alinambia:
''Ilikuwa katika mkutano wa hadhara ndipo nilipomkabili Nyerere na
kumuuliza kwanza kama ananikumbuka kisha nikamwambia atutazame
sisi sote tuliopigania uhuru na aone hali zetu. Wazee wote tulikuwa
toka pale karibu ya jukwa na Nyerere alitutazama. Hali zetu zilikuwa
taaban.''
Turudi tena Africa Events.
Siku zile kulikuwa na masharti magumu sana ya fedha za kigeni.
Benki Kuu ikakataa kupeleka fedha Uingereza ilizokuwa zinapatikana
Tanzania kutokana na mauzo ya gazeti lile.
Africa Events likiuzwa takriban Afrika nzima lakini wasomaji wake
wengi sana walikuwa hapa Tanzania.
Hii iliathiri sana utendaji wa gazeti lile.
Ghafla katika kipindi nikaona makala zangu hazichapwi tena na gazeti
na ni katika kipindi hiki Mohamed Mlamali Adam akatoka katika
Africa Events kama Mhariri na nafasi yake akachukua Msudani,
Abdulwahb Afande na kisha akaja Ahmed Yahya Saleh.
Zikanifikia taarifa kuwa Mlamali kaondolewa katika gazeti na makala
zangu pia hazichapishwi kutokana na makubaliano katika ya uongozi
wa Africa Events na ''wakubwa,'' na watakachopata Africa Events ni
fedha zao zilizokuwa zimezuiwa na Benki Kuu.
Juu ya haya ukweli ni kuwa makala zangu zilikuwa zinauza sana gazeti.
Africa Events baada ya miaka 3 wakaja na mbinu mpya ya kuchapa
makala zangu.
Ghafla ''byline'' ikabadilika kutoka jina langu na kuwa ''Special Correspondent.''
Malipo yakawa hayaji tena kwa hundi bali mtu ananipigia simu tunakutana
mahali ananikabidhi fedha zangu.
Mambo ya ki-James Bond 007.
Yapo mengi.
Lakini kwa leo haya yanatosha.

Last edited by
Mohamed Said; Today at 07:20.
No comments:
Post a Comment