9789976600513: Discipline and Tears: Reminiscences of an African Civil
Servant on Colonial Tanganyika - AbeBooks - Mang'enya, Erasto A. M.: 9976600518
Kwenye hiyo link kuna angalau maelezo kuhusu machapisho ya huyu bwana.
Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar Presents Credentials
Chief Erasto A.M. Mang’enya, the new Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar to the United Nations, today presented his credentials to the Secretary-General, U Thant. Ambassador Mang’enya was the representative of Tanganyika to the United Nations in 1963, and as of June 1964 was appointed Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.
Secretary-General U Thant (left) accepting the credentials of Chief Erasto A.M. Mang’enya, the new Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar to the United Nations.
24 September 1964
Mtanisamehe maelezo hayajakaa vizuri kwa kuwa siko desktop. Mapambano ya kudai uhuru hayakuegemea darisalamu tu na hao wazee. Kulikuwa na engo nyingi za mapambano. Ukisoma vyema kitabu hicho cha Mang'enya utagundua mengi. By default mapambsno yaliwakuta hao waze hapo juu. Tunadhukuru pia kwa michango yao. Avumaye baharini papa. Ila wako wengi
United Nations Photo
Cc FaizaFoxy

Raia Fulani,
Umesema kweli kuwa mapambano hayakuwa yamebebwa na wazee
wetu wa Dar es Salaam peke yao.
Ikiwa umefuatilia mnakasha huu utagundua kuwa hiyo siyo hoja kuu
ambayo mimi FaizaFoxy na wengine tulikuwa tunaisukuma.
Mimi binafsi nilichokuwa nakisema na hapa nitakufahamisha ni kuwa
mbona historia imefuta mchango wa Waislam ambao ndiyo walikuwa
mbele katika kuupigania uhuru wa Tanganyika?
Ndipo nilipoandika kitabu hiki: ''The Life and Times of Abdulwahid
Sykes(1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against
British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press London 1998.
Nikimfahamu Mzee Man'genya kwa kuwa wanae nimekwendanao shule.
Katika ujana nilikuwa sikai mbali na mwanae mkubwa aliyekuwa jirani
yangu na katika siku za mwisho wa uhai wake Mzee Mange'nya
alikuwa akija pale kwa mwanae nami kila nikimuona kasimama nje ya
nyumba anapunga upepo nilkwenda kumuamkia na kuzungumzanae
machache.
Wakati huu kitabu hiki kilikuwa kimetoka mimi nilikuwa katika watu
wa mwanzo kukisoma na nilimpongeza Mzee Mang'enya kwa kazi
nzuri.
Kitabu hiki kipo katika ''bibliography'' ya kitabu changu hicho hapo
juu.
Raia Fulani,
Miaka mingi sana imepita toka nikisome kitabu cha Mzee Man'genya
lakini hebu soma haya niliyoandika katika kitabu changu na katika
kushadihisha nimeweka ''footnote,'' kutoka kitabu hicho.
Nadhani utaona tofauti kubwa iliyokuwapo katika mchango wa
Chief Mang'enya na wengine kama yeye na mchango wa wazee
wangu katika kupigania uhuru wa nchi yetu:
''Associations purported to have been formed to safeguard workers’
interests had existed since early 1930s despite having introduced
the Trade Union Ordinance of 1932; the colonial government was
still very hostile to organised collective action of the working class. [1]
But this did not deter workers from fighting for their rights. None of
the unions or associations that were formed aroused the consciousness
of the working class in Tanzania as the dockworkers did in Dar es
Salaam. There was a very big difference between the Tanganyika
Territory Civil Servants’ Association (TTACA), founded in 1922
by Martin Kayamba, and the Dockworkers’ Union, both in leadership
and in direction. TTACA was a harmless genuine welfare association,
free from any conflict with the colonial administration. It was ‘a club
for clerks and teachers, with newspapers and a football team, encouraged
by the government’. [2] This association and others of similar nature
formed and led by the educated elite did not achieve much.''[3]

[1]
See Helge Kjeshus, Labour in Tanzania, (Dar es Salaam, 1977),
passim.
[2] Illife, ‘Tanzania Under British Rule’ in B.A. Ogot and J. Kieran (Eds)
Zamani: A Survey of East African History, East African Publishing House,
1968 p. 22 quoted in African Studies Working Paper No. 8, April, 1979, by
G.W. Reeves.
[3] See E.A. Mang'enya, Discipline and Tears, Dar es Salaam,
1984 p. 231.
Raia Fulani,
Huenda ukawa ufahamu yaliyofanywa na Dar es Salaam Dockworkers Union.
Chama hiki Katibu Mkuu wake kilipoanzishwa 1948 alikuwa Abdul Sykes.
Wakati ule alikuwa na umri wa miaka 24 na ni yale aliyofanya katika chama
hiki ndiyo yaliyompelekea achaguliwe kuwa secretary wa TAA mwaka wa
1950.
Ningependa nikufahamishe kitu kimoja kuwa Martin Kayamba alikuwa kibaraka
wa Waingereza.
Hii ndiyo ilikuwa sifa yake kubwa.

Last edited by Mohamed Said; Today at 19:34.
No comments:
Post a Comment