Leo Ijumaa 20 Juni 2014 Jaji Sinde Warioba katika New Africa Hotel amezindua kitabu kipya kuhusu maisha ya awali ya Mwalimu Nyerere. Kitabu hiki kimeandikwa na Muingereza Thomas Molony ambae alieleza kwa ufupi maisha ya Mwalimu Nyerere kuanzia kuzaliwa kwake Mwitongo hadi kwenda kusoma Tabora na mwisho Chuo Kikuu Cha Edinburgh kurudi Tanganyika na kuanza siasa.
Tunatayarisha...
Tafadhali fuatilia ukurasa huu.
Juma Mwapachu Akihojiwa na ITV Kuhusu Kitabu |
Mgeni Rasmi Jaji Joseph Sinde Warioba, Juma Mwapachu na Prof. Shivji |
Kushoto Kwenda Kulia: Jenerali Ulimwengu na wWalter Bgoya Katika Uzinduzi wa Kitabu cha Mwalimu Nyerere |
Madaraka Nyerere Katika Uzinduzi wa Kitabu Cha Baba Yake Kleist Sykes (Katikati) Ameshika Kitabu Cha Mwalimu Nyerere Kulia ni Abdilatif Abdallah |
No comments:
Post a Comment