Friday, 22 August 2014

BI SHARIFFA BINT MZEE MUASISI WA TANU LINDI 1955

Bi. Shariffa bint Mzee Katika Ujana Wake Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

''Realising the importance of having educated leadership, Mnonji contacted Lawi Nangwanda Sijaona who was at that time living in Newala to come to Lindi and advise TAA on how to organize effectively. Mnonji was a well-to-do African. He was the main supplier of government uniforms in the south. Through this business he was able to own three houses in Lindi and when TAA was transformed to TANU he donated one of his houses as the first TANU office in Lindi, and probably the first in Southern Province. Mnonji’s influence did not end there; one of his two wives, Bibi Zaituni Fadhili, was also involved in politics during the struggle. Bibi Zaituni Fadhili and another woman, Bibi Shariffa bint Mzee, were among early women activists in Lindi. Bibi Zaituni Fadhili died in 1995 as a serving member of parliament...(From ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)...''  




Bi Shariffa bint Mzee Katika Siku Zake za Mwisho Akiwa na Amempakata Kitukuu Chake.
Alifariki Mwaka 2009 na Kuzikwa Kimya Kimya Mjini Dar es Salaam.

(Picha Kwa Hisani ya Wanae)

Hapa chini nimeweka ''notes'' zangu nilizotumia katika kuwasilisha 
mada kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. 

Angalia jina la Bi. Shariffa bint Mzee...

24. Selemani Mamba, Kinjiketile Ngwale, Songea Abdulrauf Mbano, Mataka Masaninga, Suleiman Masudi Mnonji, Bi Shariffa bint Mzee, Ali Naliwanda, Sheikh Mohamed Yusuf Badi
25.  Sheikh Abdallah Sembe, Mwalimu Kihere na Uchaguzi wa Kura Tatu, 1958
26.  Mkakati wa Tanga na Tawasul Mnyanjani, 1958
27.  Mkutano wa Tabora, 1958
28. Ugomvi wa Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere 1958
29.  Uhuru, 1961


No comments: