Saturday, 1 November 2014

MKUTANO WA KAMATI YA MAUDHUI NA WADAU WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI MLIMANI CITY 20 OKTOBA 2014

Mchakato kupata muongozo wa vyombo vya utangazaji kuelekea uchaguzi mkuu umeanza kwa TCRA kutisha mkutano wa siku moja na vyombo hivyo ili kuwekana sawa. Radio za Kiislam Tanzania zote zilihudhuria. TCRA imesema kuwa moja ya mategemeo ya mchakato huu ni kuepusha sintofahamu kati yake na wadau na kubwa zaidi kuongeza ujuzi na ufanisi katika taaluma.


Aliyevaa kanzu nyeupe ni Said Abry kutoka Radio Quiblatein Iringa na wa tatu kutoka kwake ni Ali Ajran wa Radio Imaan ya Morogoro


Kushoto ni Martin Kuhanga wa Radio Tumaini na Hassan Abdullah Khamis wa Radio Kheri zote za Dar es Salaam
 

No comments: