Wednesday 4 February 2015

WANAVYOSEMA KUHUSU HISTORIA NA MASHUJAA WA UHURU WALIOSAHAULIKA


From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "list@tanzanet.org" <list@tanzanet.org>
Sent: Wednesday, February 4, 2015 11:17 PM
Subject: Re: [tanzanet] Karim Hirji vs Mohamed Said on Religion and Politics in Tanzania

Dada Saada,
Unachosema ni kweli lakini Mohamad ameshasema mara kadhaa katika maandishi yake JF kuwa lengo lake si kunyoosha historia peke yake bali kuwafanya Waislamu watambue kuwa wanakandamizwa na kile anachokiita "mfumo kristo" na wachukue hatua stahiki kujikomboa nao. Nina hakika umeshasikia video zake nyingi tu.
em

Sent from my iPhone


On Feb 4, 2015, at 1:35 PM, Saada <alghafry2@gmail.com> wrote:
Lengo lake ni kunyoosha rekodi. Tanzania ni ya Waislamu, Wakristo,  wanaoamini dini za wahenga,  na wasio na dini. Historia isiyoandikwa ni lazima iandikwe na wanaoijua sio tuendelee na hadithi za kikoloni na za kuandikwa na Wazungu au upande mmoja wa jamii.

Ukweli unabaki kuwa kuna waliosahauliwa kabisa, lazima wakumbukwe ... tunawakweza kina Livingstone na Stanley wakati wasingepata msaada wa Tippu Tipp wasingefika popote? 

Kila sarafu ina pande mbili. Acheni igeuzwegeuzwe, izungushwe,  isukumwe kama gurudumu tuione itafika wapi.

JKN kafanya kazi nzuri, lakini lazima mkumbuke kidole kimoja hakivunji chawa. Alipata msaada ambao wengi wenu hamtaki kuusikia kwa sababu tu yeye hakutaka kuutangaza. 




Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: Emmanuel Muganda
Date:04/02/2015 8:49 PM (GMT+04:00)
To: TANZANET Mailing List
Subject: Re: [tanzanet] Karim Hirji vs Mohamed Said on Religion and Politics in Tanzania

DM,
Lengo la Mohamed Said ni kuanzisha Muslim uprising against Christian hegemony.
em

On Wed, Feb 4, 2015 at 2:37 AM, Dar Millionaire <dar.millionaire@gmail.com> wrote:
Mohammed Said mbona anasahau kanuni maarufu ya "History remembers Kings"
Hero anakuwaga mmoja tu. Sasa ni yeye hero kwa utashi wake ndio atawataja wale wote waliomsaidia kufanikiwa. Hapo ndio nao watapata umaarufu.

On 4 February 2015 at 07:10, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:
Articles Attached - Also Accessible At AwaazMagazine
"I concur that the written history of Tanzania contains significant omissions.  That must be rectified. All our heroes deserve due publicity. Said focuses on Muslims, but others have been side-lined too. Our children need a valid account of the path our nation has travelled" - FROM ONE OF THE ATTACHMENTS
The volume of historic detail in Mohamed Said’s paper, Tanzania: A Country without Heroes,is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are…
Written on Saturday, 31 January 2015 09:39 Be the first to comment!
http://www.awaazmagazine.com

No comments: