
By
Bulesi 
Ni kweli mahapa patakatifu ndipo panapofaa kuombea dua lakini IKULU ya leo sio mahala patakatifu tena hivyo hapafai kuombea dua kwani pamenajisiwa na kuwa PANGO la wezi tena wa mchana wanaokwenda na viroba kwenda kukwapua mapesa yetu sie maskini!!
http://www.jamiiforums.com/jamii-photos/770825-kisomo-ikulu-dar-es-salaam.html
Bulesi,
Ungekuwa unafanya utafiti lau kidogo kabla hujaandika.
Hebu soma hapa chini yaliyokuwa yakifanyika Ikulu miaka ya nyuma:
Bulesi,
Ungekuwa unafanya utafiti
lau kidogo kabla hujaandika.
Hebu soma hapa chini
yaliyokuwa yakifanyika Ikulu miaka ya nyuma:
"In public Mwalimu
Nyerere was a fierce defender of secularism.
It is therefore quite
disturbing to learn that in private he championed
the sectional interests of
his own church.
In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary
General
of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and
the
Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among
other
things Nyerere told his guests that he was doing every
thing in his power
to strengthen Catholicism in the country. He also requested
them to go
and inform the Bishops that he had established a Department of
Political
Education in TANU (the ruling and only political party at that time),
and
that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not
because of his competence as a political analyst, but because of his strong
faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political
direction of the party. He also informed them that in the Party’s National
Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he
believed that was the best way of ensuring that the
party got good people
(van Bergen, 1981:333-336)."
Bulesi,
Haya yamo katika kitabu hicho hapo chini ambacho kilipigwa marufuku:
No comments:
Post a Comment