Sunday, 15 March 2015

KUTOKA JF: UCHAKACHUAJI WA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI

Re: Ukweli wa Vita vya MajiMaji

Quote By cerengeti View Post
Kuna kitu kanisa katoliki linaficha.
Mkuu hongera. Ila tunaitaji more references.
Cerengeti,
Hebu msome Chief Songea anavyotokea katika utafiti wa Baker hapa chini:

One needs only to read the letter written by the Chief Songea bin Ruuf at
the time when he was mobilising his people for war while at the same time
trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and
across River Ruvuma in Mozambique.

This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga
reads:
"Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin
Hamis 
Massaninga.

Greetings, etc.

I am sending you a letter through Kazembe.

We have received an order from God that the Europeans must leave the
country.

We are in the process of fighting them here. I believe that we have long
since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an
alliance.

I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to
do so, as the war which God desired is continuing.

Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).
I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the
means for conquering the Europeans.

Have no doubt about it, it possessed great power.

And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on
the Nyasa together, you and I.

Now, let us forget our old quarrels.
This bottle, with a da’wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war
leader.

He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.
If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you
many of the holy things.
Hassan bin Isma’il greets you.
Many salutations,
Sultan Songea bin Ruuf.” [1]

Kutoka: Mohamed Said, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of The Muslim Struggle Against British Colonialism in Tangnayika, Minerva Press, London 1998."

Sultan Songea bin Ruuf huyu hapo juu ndiyo huyu anayoelezwa tena hapa chini kama Chief
Songea Mbano?:


"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Chifu Songea Mbano alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu
wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka
abakie ili wamtumie kwa malengo yao.


“Yeye Chifu Songea alidai na yeye anyongwe kama walivyonyongwa ndugu zake, basi alinyongwa
na Wajerumani ambao waliondoka na kichwa chake wakiwa wamekiweka ndani ya kasha kwenda
Ujerumani ambako hakijarudi hadi leo na kiwiliwili chake kuzikwa katika kaburi la peke yake.”
(Kutoka:Historia Ya Vita Vya majimaji.)
WanajamviNaamini mnaiona tofauti iliyopo.
Au hawa ni machifu wawili tofauti?

Nani anahusika na uchakachuaji huu wa majina haya ya Kiislam katika historia ya Vita Vya Maji Maji?
Last edited by Mohamed Said; Today at 19:41.

No comments: