Clip hii inaonyesha harakati za kudai uhuru wa Zanzibar kutoka kwa Waingereza na mazungumzo yaliyofanyika Lancaster House, London. Kwa bahati mbaya sana historia hii ni moja ya historia ambayo haisomeshwi ili vizazi vijavyo vijue historia ya nnhi yao na kwa kuijua hustoria hiyo makosa yaliyofanyika simu za nyuma yaepukwe. Katika clip hii yuko Mohamed Shamte
Wednesday, 23 December 2015
HARAKATI ZA UHURU ZANZIBAR
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment