Kiongozi Mkuu wa
Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake kivuli la
Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo alilolitangaza
bungeni baada ya Maswali na Majibu.
Waliotangazwa
Katika Orodha hiyo ni Pamoja na:
Ofisi ya Rais
TAMISEMI
Waziri - Jafar Maiko
Joseph Mkundi
Utumishi
Waziri - Lucy Molel
Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano
Waziri - Ali saleh A. Ali
Pauline Gekul
Ofisi ya Waziri Mkuu
Bunge, Kazi na Ajira
Waziri - Esther Bulaya
Naibu-Yusuph Makame
Naibu-Mafutar Abdallah
Sera na mipango
Waziri - Halima Mdee
Naibu - Davidi Silinde
Uchukuzi
Waziri - Injinia Mbatia
Naibu - Willy Kambalo
Nishati na madini
Waziri - John Mnyika
Naibu- John Heche
Mambo ya nje
Waziri - Peter Msigwa
Naibu- Riziki Shahari Mngwali
Kilimo
Waziri - Magdalena Sakaya
Naibu Dr. Swalehe
Ulinzi
Waziri - Juma Hamad Omar
Naibu - Mwita Waitara
Mambo ya Ndani
Waziri - Godbless Lema
Naibu- Masoud A Salim
Ardhi
Waziri - Wilfred Lwakatare
Naibu- Salma Mohamed
Maliasili na Utalii
Waziri - Esta Matiko
Naibu - Sesilia Pareso
Viwanda Biashara na Uwezeshaji
Waziri - Kalist Komu
Naibu- Mwambe
Elimu
Waziri - Suzan Lyimo
Naibu- Dr. Ally Suleiman Yusuph
Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
Waziri - Dk. Godwin Mollel
Naibu- Zubeda Sakuru
Habari
Waziri - Joseph Mbilinyi
Naibu - Devota Minja
Maji
Waziri - Hasan Bobali
Naibu - Peter Lijualikali
Katiba na Sheria
Waziri - Tundu Lissu
Naibu- Abdallah Mtolela
Ofisi ya Rais
TAMISEMI
Waziri - Jafar Maiko
Joseph Mkundi
Utumishi
Waziri - Lucy Molel
Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano
Waziri - Ali saleh A. Ali
Pauline Gekul
Ofisi ya Waziri Mkuu
Bunge, Kazi na Ajira
Waziri - Esther Bulaya
Naibu-Yusuph Makame
Naibu-Mafutar Abdallah
Sera na mipango
Waziri - Halima Mdee
Naibu - Davidi Silinde
Uchukuzi
Waziri - Injinia Mbatia
Naibu - Willy Kambalo
Nishati na madini
Waziri - John Mnyika
Naibu- John Heche
Mambo ya nje
Waziri - Peter Msigwa
Naibu- Riziki Shahari Mngwali
Kilimo
Waziri - Magdalena Sakaya
Naibu Dr. Swalehe
Ulinzi
Waziri - Juma Hamad Omar
Naibu - Mwita Waitara
Mambo ya Ndani
Waziri - Godbless Lema
Naibu- Masoud A Salim
Ardhi
Waziri - Wilfred Lwakatare
Naibu- Salma Mohamed
Maliasili na Utalii
Waziri - Esta Matiko
Naibu - Sesilia Pareso
Viwanda Biashara na Uwezeshaji
Waziri - Kalist Komu
Naibu- Mwambe
Elimu
Waziri - Suzan Lyimo
Naibu- Dr. Ally Suleiman Yusuph
Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
Waziri - Dk. Godwin Mollel
Naibu- Zubeda Sakuru
Habari
Waziri - Joseph Mbilinyi
Naibu - Devota Minja
Maji
Waziri - Hasan Bobali
Naibu - Peter Lijualikali
Katiba na Sheria
Waziri - Tundu Lissu
Naibu- Abdallah Mtolela
Kushoto: Mheshimiwa Riziki Shahari (Mafia), Mheshimiwa Mwantum Dau (Mafia) na nyuma Mheshimiwa Bi Salma (Pemba) |
No comments:
Post a Comment