Unaweza kumsoma Amor Ali Ameir: His Life and Legacy kutoka Facebook:
Vilevile Jamiiforums:
Ben Rijal Hichi kitabu tuwaombe wenzetu watupatie angalau “Copy” chache natupo tayari kununua.
Maalim Amor Ali Ameir alikuwa Director wa Education na mwanawe Dr. Homoud Amor Ali Ameir alipomaliza Form VI alikuja kusomesha Darajani, akanisomesha Standard V Kiengereza na kitu ambacho sitokisahau na akanambia hutosahau ni Third Person Singular ku add "S" akaniandikia hio "S" akaitia nakshi kwani alikuwa ni “artist” vilevile, sijui kama ipo Picha ya Patric Lumumba ambayo aliichora pale Lumumba.
Maalim Amor Ali Ameir kama kumbukumbu zangu nisawa ni yeye alikuwa mkalimani pale Gamal Abdelnasir alipozuru Zanzibar.
Vilevile nitawaomba wana Familia watupatie Copy 2 mmoja tuiweke Government Central Library na nyengine Lumumba College (King George the VI). Hii itafungua milango maandishi mbalimbali ya Diaspora kuweza kusomwa na wengine. Mfano nimeazim kuzungumza na Abdulrazak Gurnah naye tukapata vitabu vyake tukaviweka Maktaba kuu na Lumumba College na kwa Abdulrazak hata na Darajani School.
Tumuombe na Dr. Harith Ghassany akusanye kwa kushirikiana na wenzake wale Wazanzibari waliopo hapo Oman wakatupatia Copy za vitabu vyao nasi tufaidike na kwayeye na Capacity yake hata akazungumza na Ubalozi kulisaidia hili.

No comments:
Post a Comment