Friday, 18 March 2016

MSIKITI WA MTAMBANI WASOMA DUA YA ZANZIBAR





Msikiti wa Mtambani Dar es Salaam
Sheikh Rajab Katimba akizungumza na Waislam aliyekaa kitini ni Imam Suleiman

Watoto wa madrasa wakisoma dua

Waislam wakisoma dua maalum ya Zanzibar

Dua ikisomwa Msikiti wa Mtambani

Mmoja kati ya wanafunzi wa madrasa za Dar es Salaam akishiriki katika dua

No comments: