Mstari wa mwisho ulio na watu wawili kushoto ni Abdulrahman Lukongo na huyo mwingine ni Hamisi Fikirini wote marehemu |
Abdularahman Lukongo wa kwanza kushoto katika timu ya taifa Kongo 1967 |
Kushoto wa tatu ni Abdulrahman Lukongo |
[5:49pm, 19/06/2016] Kheri: Tanzia.....winga wa zamani wa kimataifa wa klabu ya yanga anayetajwa kuwa winga wa muda wote nchini kwa vigezo vya waliomuona..mzee wetu Abdurahman Lukongo amefariki mida hii ktk hospitali ya Amana iliopo jijini Dar es salaam
Taratibu za mazishi tutafahamishana.Msiba upo nyumbani kwake makutano ya mtaa wa Simba na kariakoo.maeneo ya kariakoo jijini hapa...
Inna lillah wainna ila ilaihi raajiuun...
Gogo la Kimanyema limeanguka leo..!!
By Haji S.Manara
[5:51pm, 19/06/2016] Kheri: Amefariki Asubuhi saa 2:30,Muhimbili sio Amana damu iliganda kwenye ubongo.
[5:52pm, 19/06/2016] Kheri: Mazishi kesho Kisutu baada ya sala ya adhuhuri
No comments:
Post a Comment