Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920.
=======
UPDATE:
JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
Aliyekuwa Rais wa pili wa Zanzibar (7 Aprili 1972 hadi 30 Januari 1984) Mwinyi Aboud Jumbe amefariki Dunia.
wambekeJF-Expert Member
New
rip Mzee Jumbe
SIGNATURE
calmdowndearJF-Expert Member
New
Kitabu chake cha Partnership kinapatokana wapi? Kinacho swahili translation?
Superiority ComplexJF-Expert Member
New
RIP
SIGNATURE
RitzJF-Expert Member
New
Inna lillaahi wainna ilaiyhi raajiun
SIGNATURE
Chum KaneJF-Expert Member
New
Inailah wainalilah rajuun.Allah akupe kaul thabit Sheikh Jumbe.Amin.
SIGNATURE
babake nasreenSenior Member
New
MgitoMember
New
INNA LILLAH WAINAILAIH RAAJIUN mwenyenzimungu umrehemu mzee wetu aboud jumbe, mpambanaji aliye mkweli
MudawoteJF-Expert Member
New
R.I.P mzee wetu
SIGNATURE
- New
THOMASS SANKARASenior Member
New
*Innah llilah wainnah ilayhi rajiun
Allah akusamehe madhambi yako,akurehemu na akupe pepo ya firdaus ameeen ameeen*
BukyanagandiJF-Expert Member
New
Mumba DalyJF-Expert Member
New
MzeeJF-Expert Member
New
Innalillah wainnailah rajiun
SIGNATURE
- New
R. I. P Mzee Jumbe
NkungumaMember
New
Wosia wake alishasema, mazishi yake yawe ya kawaida, yasiwe ya kiserikali.
FRANCIS DA DONJF-Expert Member
New
SIGNATURE
- New
May his soul rest in eternal peace.
SIGNATURE
uponjonchimanSenior Member
New
Kila nafsi itaonja mauti
- New
R.I.P babu yetu!!
- New
Ni mapema mno, tusubiri.
SIGNATURE
- There are more posts to display. View them?
Mag3JF Gold Member
New
RIP Mzee Aboud Jumbe, utakumbukwa kama Rais wa pili wa Unguja na Pemba baada ya mapinduzi.
SIGNATURE
Mohamed SaidVerified User ✅
New
Hakika ni msiba mkubwa kwangu na Tamim kwani alikuwa mzee wetu
sana na mtu tuliyekuwanae karibu mno.
Walikuwapo katika kundi letu Prof. Hamza Njozi na Dr. Ramadhani
Dau.
Mzee Jumbe alimpenda sana Tamim kwa ajili ya ile '' hard to imagine
exceptional intelligence'' yake aliyojaaliwa na Allah na Tamim alifanyakazi
kubwa sana ya uhariri wa kitabu cha Mzee Jumbe, ''The Partnership,''
zaidi akimzuia Mzee Jumbe abakishe baadhi ya mambo akimwambia,
''Mzee Jumbe imetosha kuwa sisi tushayajua.''
Hii picha tulipiga mwaka wa 2000.
Sunday, 14 August 2016
KUTOKA JF: ABOUD JUMBE (1920 - 2016) AMEFARIKI DUNIA LEO
About Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment