Viongozi wa msafara Dr. Dau na Sheikh Aziz |
Kiongozi wa Wanawake Bi Hanifa |
KIongozi wa msafara wa maziko Dr. Ramadhani Kitwana Dau |
Sheikh Aziz wa Azam Marine akiwaelekeza akina mama Sheikh Aziz |
Sheikh Ponda Issa Ponda |
Msafara ukiwa bandarini Zanzibar kushoto ni Dr. Bushiri Tamim, Sheikh Abdallah na Sheikh Aziz |
Nyumbani kwa Aboud Jumbe nyuma ya nyumba yake lilipochimbwa kaburi |
Ali Sultani Issa akiwa mazikoni |
Jeneza likipelekwa kaburini |
Waombolezaji wamelizunguka kaburi |
Eddie Riyami akiwa mazikoni |
Abdulswamad na Hamzah mazikoni |
Mazikoni nyumbani kwa Aboud Jumbe Migombani |
Vyombo vyai habari vikirusha matangazo kutoka nyumabani kwa Aboud Jumbe |
Waombolezaji baada ya kurudi Dar es Salaam walifanya dhkri kwa Allah kumuombea dua Alhaj Aboud Jumbe |
No comments:
Post a Comment