Balozi
Dr. Ramadhani Kitwana Dau Balozi mpya wa Tanzania Kuala Lumpur, Malaysia kapokelewa kwa
nderemo na vifijo na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Malaysia.
Jambo hili
limewashangaza wengi walioona picha katika mitandao ya kijamii na hata kumshtua
Balozi mwenyewe kwa kuwa hakutegemea kupata mapokezi nje ya utaratibu wa
kawaida.
No comments:
Post a Comment