Sunday, 11 September 2016

KUTOKA JF: TIP TIP NA HISTORIA YA UTUMWA


BarbarosaJF-Expert Member

#1
Thursday at 12:57 PM
Joined: Apr 16, 2015
Messages: 7,562
 
Likes Received: 4,378
 
Trophy Points: 280

Mzao wa Tippu Tip uko wapi?


Ikumbukwe kwamba wakati wa Biashara ya Utumwa ni Waafrika wenzetu ndiyo waliokuwa wanakamata ndugu zetu kama Watumwa na kuwauzia Waarabu na Wazungu mmoja wao ni mtu maarufu Mchotara Tippu Tip ambaye alikuwa ni Mchotara wa Kiarabu na Kikwetu!
Mama yake Tippu Tip alikuwa ni Mbantu mweusi kama mimi na ni Mzaliwa wa Dar yetu kipindi hicho haikuitwa Dar wakati Baba yake ni alikuwa ni Mwarabu wa kuapia kutoka Oman, huyu ndiyo alikuwa kinara wa kutuuuza Waafrika, sasa swali langu ni Je, mzao wake Tipp Tip uko wapi? 
Kwa maana Tipp Tip alioa wake wengi na watoto wengi sana tu hivyo ina maana kizazi chake kipo na kwa kuwa alikuwa ni tajiri, utajiri alioupata kwa njia haramu ya kuuza Watumwa basi aliurithisha kwa vizazi vyake vilivyofuatia, sasa viko wapi vizazi vyake?


Muuza watumwa Maarufu Afrika Mchotara Tippu tip!

[​IMG]


Kazi ya Tippu Tip!

[​IMG]

Jibu la kitukuu cha Tip Tip 


Wagonjwa hao. Wape hadithi ya mwana kondoo na mbwa mwitu. Asojuwa maana haambiwi maana. I never argue with fools as people might not be able to tell the difference. Being a descendant of Tip Tip does not shame me at all. I'll always stand tall for who I am. A lot of fibs and dramatization has been added in Tip's life to the extent that some people don't know where truth ends and fiction starts. 


I don't want to enter into an argument with nincompoops some who have just managed to learn how to write their names. Thanks brother but I retain you as my advocate if you accept a retainer of sisterhood love.

No comments: