Utangulizi
Mheshimiwa Katani Mbunge wa Tandahimba ni kijana kwa maana halisi
ya neno lenyewe. Katika muda mfupi wa kuzungumza nae kwa mara ya kwanza
akisubiri kikombe cha kahawa alipopita nyumbani kwa Mwandishi, Mwandishi amegundua kuwa Mh. Katani amekalia
kitabu ambacho ikiwa atakiandika kinatosha kuwa rejea ya kueleza adha za siasa
za upinzani khasa wakati wa uchaguzi mkuu. Ukurasa huu umefunguliwa rasmi
kumsubiri Mh. Katani afunguke kwa faida ya wapenda demokrasia...
Mheshimiwa Katani Mbunge wa Tandahimba |
No comments:
Post a Comment