Thursday, 5 January 2017

KUTOKA JF: MAJINA YA WALIOCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 1958


Mtochoro,
Ninapokusoma kiasi nakusikitikia kuwa unaingia katika mjadala
ukiwa huna elimu ya hicho unachokizungumza.

Unaandika kwa kibri na kejeli kuwa Waislam wana mzia wa shule.
Unasema haya kutokana na kutokujua historia ya Tanganyika.

Sasa ikiwa uko tayari kujifunza mimi niko tayari kukupa darsa uwajue
Waislam wa Tanganyika na historia yao.

Hapo chini nakuwekea majina ya waliochangia ujenzi wa Chuo Kikuu
Cha Dar es Salaam mwaka wa 1958.

Orodha kamili inaweza kupatikana Maktaba ya CCM ikiwa wamehifadhi:

Mohamed Said: MAJINA YA WALIOCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 1958

Displaying 20170105_173630.jpg

No comments: