Saturday, 8 April 2017

MAVAZI YA KIOMANI KATIKA HARUSI ZA WATANZANIA

Msikiti wa Ibadh Ilala Dar es Salaam. 

Imekuwa siku hizi ni mtindo kwa vijana wengi wa Kiislam Tanzania kuvaa Kiomani kwenye harusi zao mfano wa huyu kijana hapo chini hata kama hawana asili ya huko. 

Nilipomuuliza huyu kijana kwa nini kavaa Kiomani kanambia mavazi haya yanapendeza sana. 
Nimegundua kuwa wafungaji wa vilemba hivyo wanatoza shs. 50,000.00 kukifunga kilemba.

Harusi Msikiti wa Ibadh
Ilala, Dar es Salaam


No comments: