Monday 26 June 2017

KUTOKA KWA CHAMBI CHACHAGE: MAREJEO YA MAISHA YA ABDULWAHID SYKES NA HARAKATI ZA KUUNDA TANU

Waliosimama wa kwanza kulia Mwandishi, William Mfuko, Juma Mwapachu. Waliokaa wa kwanza kulia ni Andrew Gordon, Edward Makwaia (sasa Chief Edward Anthony Makwaia wa Busiya) na mama yake Bi. Mary Mackeja nyuma yake ni Wendo Mwapachu 1967.

Ombi kwa Mzee Mohamed Said


Inbox
x
Personal
x

Chambi Chachage

20:50 (1 hour ago)
to me
Eid Mubaraka Mzee Mohamed Said. Tafadhali rejea maelezo hapo chini. Ofisi ya Hamza ni ipo hapo?


----- Forwarded Message -----
From: Juma Mwapachu <jvmwapachu@gmail.com>
To: Udadisi Mdadisi <chambi78@yahoo.com>
Sent: Monday, June 26, 2017 8:04 PM
Subject: Re: Your dad Hamza Mwapachu had an office at Ilala Quarters?

Chambi

Ilala Quarters No 55 was our Baba's official residece as Welfare Officer from April 1949 upon returning from UK. His government office was at Ilala Boma, the same location where the Ilala District office remains for all years. I am not sure what Mohamed Said has written. He knows well about Hamza. Mzee Plantan was not President of TAA whole of 1949. That year saw changes in leadership late 1949 with Abdul Sykes and Hamza Sykes doing a coup. What Mohamed refers as a meeting place remains some kind of a secret. It is somewhere in Ilala.  I cannot see how our little sitting room could accommodate the inner group of TAA revolutionaries of 5 people in a meeting. But at was at those  meetings in 1950 and part of 1951 that the independence agenda was shaped. 

On 26 Jun 2017 2:49 pm, "Chambi Chachage" <chambi78@yahoo.com> wrote:
Eid Mubarak Balozi! Kindly refer to the quote below from Mohamed Said. Was the office located at the "two-bedroomed government house,Number 55 Ilala Quarters" that you mention elsewhere? When?

"Ofisi ya Mwapachu pale Ilala ikawa kituo cha mijadala ya siasa nyakati za mchana.  Jioni vikao hivyo vya majadiliano vilihamia Tanga Young Comrades Club. Hiki kilikuwa kilabu maarufu cha kukutana, hasa kwa vijana maarufu na muhimu katika mji wa Dar es Salaam. Kilabu hiki kilikuwa New Street, Karibu na makao makuu ya TAA. Mijadala ya siasa nyumbani kwa Abdulwahid au katika ofisi ya Mwapachu Ilala au Tanga Club kidogo kidogo ikawa inaingia katika nadharia ya vile vijana wangeweza kuitoa TAA kutoka kwa wazee wale, ambao kwa hakika vijana waliwaona kama makapi ya utawala wa Kijerumaini.  Wakati ule mwaka 1949,  Mwalimu Thomas Plantan ndiye aliyekuwa rais wa TAA.  Katibu wake alikuwa Clement Mohammed Mtamila" - THOMAS SOUDT PLANTAN RAIS WA MWISHO WA TAA ALIYEKABIDHI CHAMA KWA VIJANA WADAI UHURU WA TANGANYIKA

No comments: