Tuesday, 27 February 2018

WANAWAKE NA HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA





Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa
Tanzania

Picha za wanawake mashuhuri katika
historia ya Tanzania

Kushoto Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdulwahid Sykes na 
Lawi Sijaona Ukumbi wa Arnautoglo kwenye Tea Party ya kumuaga
Nyerere safari ya pili ya UNO 1957
Kushoto Bi. Mwamvua bint Mashu, wa tatu
Bi. Titi Mohamed akifatiwa na Bi. Zainab mke
wa  Tewa Said Tewa
Bi. Mugaya Nyang'ombe
Bi. Mruguru bint Mussa


Picha za wanawake mashuhuri katika historia ya
Tanzania
Bi. Kidude


Kushoto wa kwanza ni Bi. Tatu bint Mzee wa tatu ni Julius Nyerere na wa
tano ni Bi. Titi Mohamed


Bi. Titi Mohamed na Mwalimu Julius Nyerere katika mktano wa hadhara
Jangwani mwaka wa 1955





No comments: