Msomaji,
Ingia katika kiungo hicho usoma nini JF inasema kuhusu kipindi nilichofanya na Azam TV kuhusu .ya Zanzibar.
Mahojiano Katika Azam Studios Kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar |
 |
Mtangazaji Mwabulambo Akimhoji Mwandishi Kuhusu Mapinduzi ya
Zanzibar Katika Kipindi Cha Morning Trumpet
KUTOKA JAMIIFORUMS
Mzee Mohamed Said ndani ya Azam tv akimjadili John Okello
Ndani ya Azam tv Mzee Mohamed Said akieleza mchango wa John Okello.Mambo mazito yanazungumzwa hapa,kumbe historia tuliofundishwa mashuleni ni full of lies.
Tumekua brainwashed na kutuaminisha kuwa mapinduzi yalitokea.Mzee Oscar Kambona ndio alisuka mpango mzima ukisimamiwa na Mwalimu Nyerere.Mzee Karume hakua na mchango wowote.
Mauaji ya Kimbari yalifanywa na mamluki kutoka bara wakiongozwa na John Okello.
Last edited by Rio Tinto; Today at 08:00.
|
No comments:
Post a Comment